Skip to Main Content

Current Domain

Languages

 
 
 
 
 
Karibu Kenya Beehive
UKIMWI - Je Unajali?
Ni miaka 30 tangu HIV - Kirusi ambacho husababisha Ukimwi kilitambuliwa. Hatua dhabiti zimechukuliwa katika matibabu na utunzaji kwa walio na Ukimwi. Hata hivyo, Ukimwi hauna tiba halisi. Matibabu hugharimu pesa nyingi na hudumu maisha. Kwa hivyo ni wajibu wa kila mmoja wetu kuzuia kuenezwa kwa HIV na kuwasaidia walioathirika kuishi maisha mema na ya afya. One Global Economy kwa usaidizi wa AfriAfya wametengeneza Video kadhaa kuhusu Ukimwi. Video hizi zinakushawishi kuhusika katika kuuzuia na kuudhibiti ugonjwa huu. Ili uzione, bonyeza viungo.
 
 

 
 
 
 
 

Learn more about Community Knowledge Centers in Kenya: