Unapaswa kuainisha mapato yako yote pamoja:
- Mshahara wako
- Pesa za ziada kutoka kwa kazi za kando.
- Kodi (Ikiwa una rasilmali umekodesha)
Unapaswa kuainisha matumizi yako kama vile:
- Kodi ya nyumba ya kupanga
- Ukarabati wa nyumba
- Matumizi ya nyumbani ( Umeme, maji na simu )
- Bili ya simu
- Mkopo wa gari
- Utunzi wa gari
- Petroli
- Malipo ya usafiri (ikiwa hauna gari)
- Chakula
- Mavazi
- Wafanyi kazi wa nyumbani (yaya, mpaliliaji, mlinzi)
- Malipo ya matibabu
- Kadi za kukopa
- Mkopo wa binafsi
- Karo za shule
- Pesa za burudani