Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Dermatophilosis na kuvimba kwa ngozi katika ng'ombe wa maziwa

Ni ambukizo la juujuu katika ng’ombe wa maziwa mahali ambapo wash opens na misters zilitumiwa.Inaitwa bakteria demtophilis conglensis.Daawa  kwenye ngozi ni ishara za kwanza za ugonjwa.Ugonjwa huu saa zingine huitwa ‘lengelenge la mvua’’ na hufanana na tone la mvua katika ngozi.Daawa huja pamoja kujenga rusu la ganda kubwa. 

Ingawa chimbuko la kiumbe hiki halijulikani,kinaaminika kuwa nyamavu kutoka kwa ngozi bila dalili zozote za ugonjwa.

Ili kuanzisha ugonjwa huu,ngozi inapaswa kuwa imeharibika ama iwekewe unyevu kila wakati,ugonjwa huu hauonekani hata katika uwepo wa bacteria nyingi.

Uharibifu wa ngozi kunasababishwa na kuumwa na wadudu ama kupe,mimea inayodunga ama kunyoroka kwa ngozi kwa sababu ya kutiwa unyevu.

Mlipuko mwingine wa ugonjwa huu unaweza kusababishwa na ukosefu wa madini ya zinki.

Maambukizo yanaweza kutokea katika mnyama mmoja ama yanaweza kuhusisha asilimia kubwa ya kundi la mifugo.Maeneo ya kawaida ya maambukizi ni tako,sehemu ya juu,kiwele,na chuchu na vile vile tumbo. 

Wanyama wenye vidonda zaidi ya asilimia 50 katika miili yao hugonjeka  vibaya na kutokea  kwa kifo huwa na uwezekano.

Wanadamu wanaweza kupata ugonjwa huu ikiwa wataguza mnyama aliyeadhirika.Unashauriwa kuvaa nguo za kukulinda unapojihusisha na wanyama walioadhirika.

Ugonjwa huu huenea kwa urahisi,unaweza kusambaa kutoka kwa mnyama mmoja hadi mwingine.Wanyama walio na afya wakigusana na magamba huambukizwa.Wadudu wasiouma wanaweza kuubeba kutoka kwa mnyama mmoja hadi mwingine.Ili kudhibiti ugonjwa huu,mkulima anapaswa kutoa chanzo cha uharibifu wa ngozi na kiwango cha maji wanyama wanachokutana nacho.

Kwa kila ng’ombe aliyedhuhrika vibaya,gamba linafaa  kutolwa na matibabu ya  wakati huo kutolewa.Ikiwezekana dawa ya sindano ya kiua vijasumu inafaa kutolewa.

Tafuta ushauri wa daktari wa wanyama kwa matibabu na ubainishaji wa ugonjwa.

 

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None

The information you have posted is very useful. The sites you have referred was good. Thanks for sharing...
funny picture of the day

»

The post is written in very a good manner and it contains many useful information for me.
scentsy light bulb

»

It was wondering if I could use this write-up on my other website, I will link it back to your website though.Great Thanks.
warriorforum

»