Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng'ombe

Ufafanuzi 

Ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe(LSD) ni ugonjwa wa ng’ombe mkali hadi sugu unaosababishwa na virusi na hujulikana na vivimbe kwenye ngozi ambavyo vinaweza  kuwa na sehemu za mwili zilizooza na zenye umbo la koni iliyopinduliwa na pia ugonjwa wa limfu unaoambatana na homa isiyoisha.

Elimu ya chanzo cha magonjwa

Kiini kinachosababisha ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe ni kirusi aina ya capripoxvirus.Aina asili ya ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe ni kirusi cha Neethling(1).Kirusi kinachosababisha ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe(LSDV)ni mojawapo wa virusi vikubwa(170-260 kwa 300-450nm) (16).kuna aina moja pekee ya kikundi cha bacteria chenye seti za antijeni zenye tabia moja cha LSDV.Hii LSDV ina uhusiano wa karibu serologically kwa kirusi kinaachosababisha ndui ya mkoondoo na  mmmbuzi(SPG) na haiwezi htofautishwa na kuziimua kwa kawaida kwa virusi hama majaribio ya seriological.(3).Masomo yaliyoekewa mipaka ya kimeng’enya kinachogawanyisha DNA au RNA ya capripopxviruses  yanaonyesha aina za LSDV zinafanana na kila moja na ile ya Kenya(0 240/KSGP)ya ndui ya  kondoo na mbuizi(SGPV).Aina zingine kutoka  Kenya  zilikuwa tofauti na aina ya 0 240/KSPG lakini zinafanana na kila moja na aina ya SGPV kutoka katika Peninsula ya Arabia.Kikundi cha  Kenya cha aina ya SGPV kilionyesha tofauti zilipolinganishwa na zile kutoka India,Iraq na Nigeria(13).

Kiini kinachosababisha ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe ni kirusi cha capripox.Prototaipu ya aina ya ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe ni kirusi cha Neethling(1).Kirusi cha ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe(LSDV) ni moja wapo wa virusi vikubwa(170-260 kwa 300-450nm) (16).

LSDV ina upinzani mkubwa kwa nguvu asilia ama za kemikali.Kirusi hiki hukatalia kwa ngozi iliyokufa kwa angalau siku 33 na hubakia kuwepo katika majeraha katika ngozi zilizokaushwa na hewa kwa angalau siku 18 katika  halijoto ya mazingira(22).

Ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe ni kasoro inayowakabili ng’ombe.Kuna ushahidi ambao haujakamilika kuhusu kuadhirika kwa mbogo wa maji(babulus) mbogo aina ya African Cape(synercus caffer)na wanyama wengine wa mbugani  hawajaadhirika wakati wa visa vya ugonjwa huu barani Afrika.Majaribio ya maambukizi ya baadhi ya spishi unawezekana. 

Jiografia ya usambazaji

 Uambukizaji 

Wadudu wanaouma huchangia pakubwa katika usambazaji wa LSDV(5,15).Majanga  ya ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe huhusishwa na misimu ya mvua.Ugonjwa huu husambaa kaktika maeneo ya mito  na sehemu zinazoruhusu kuzaana kwa wadudu(6,10,15,na 22).Stomoxys Calcitrans LSDV inayosambaza kwa majaribio, lakini chawa anayeuma (Mallophaga spp.),chawa anayenyonya (Damalinia ssp.),ama Culicoides nubeculosus haikufanyika.(14). Walikduwa Nchini Kenya Culex mirificus lakini pia Aedes natronius walikuwa kwa wingi katika epizootiki ya ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe na walihusishwa na usambazaji (15).Mpagusano wa moja kwa kmoja unaoneka kufanya wajibu mdogo katika usambazaji wa ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe.

 

 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None

Excellent and very exciting site. Love to watch. Keep Rocking.
how to get my ex back even if it seems impossible

»

I recently found many useful information in your website especially this blog page. Among the lots of comments on your articles. Thanks for sharing.
scentsy light bulb

»

Thanks for taking the time to discuss this, I feel strongly about it and love learning more on this topic. If possible, as you gain expertise, would you mind updating your blog with more information? It is extremely helpful for me.
warriors forum

»

Thanks for the valuable information and insights you have so provided here...
funny dog videos for kids on youtube

»

Excellent article. Very interesting to read. I really love to read such a nice article. Thanks! keep rocking. funny video game illustration case

»