Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Choa

Choa ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukizana unosababishwa na Trichophyton kverrucosum,kiiniyoga kinachojenga kuvu.Viiniyoga hivi vinawezabakia hai kwa miaka katika mazingira makavu.Hutokea kwa speshi zote za mamalia zikiwemo ng’ombe na binadamu.Ingawaje hayapendezi macho ,maambukizo ya kuvu yanasababisha uharibifu mdogo wa kudumu na hasara kimapato.Mgusano wa nmoja kwa moja na myama aliyeadhirika ndio njia ya kawaida ya maambukizo.

Viiniyoga humea  na  hushambulia  mashina ya nywele na rusu zilizoko juu ya ngozi.Jasho hutoka kwenye ngozi iliyoharibika na kuchanganyika na vifusi kutoka kwa ngozi na nywele inayotengeneza vigaga.Kigaga kijivu–cheupe huonekana kuliko ngozi inayokizunguka.Choa mara kwa mara hutokea kichwani ama shingoni,lakini pia inaweza kupatikana katika mwili mzima katika hali zile mbaya.Maambukizo husambaa kutoka katikati yakitoka nje na husababisha kidonda cha mviringo.Vigaga huanguka kutoka kwa vidonda vizee na kuacha baka ambalo halina nywele katikati.Kwa hivyo jina choa.

Choa hupona bila matibabu.Matibabu ya kawaida hujumuisha upakaji wa asilimia 2 ya myeyusho wa madini ya joto (aidini),lahamu ya thiabendazole ama kiua kuvu kinachotumiwa kutibu athlete’s foot katika binadamu.  

 

0
No votes yet
Your rating: None

I'm glad I found this web site, I couldn't find any knowledge on this matter prior to.Also operate a site and if you are ever interested in doing some visitor writing for me if possible feel free to let me know, im always look for people to check out my web site.
halogen light bulbs

»

I recently came across your blog and have been reading along. I thought I would leave my first comment. I don’t know what to say except that I have enjoyed reading. Nice blog, I will keep visiting this blog very often.
how to use wordpress

»

I just couldn't leave your website before telling you that I truly enjoyed the top quality info you present to your visitors? Will be back again frequently to check up on new posts.
youtube funny video pranks gone wrong

»

Thank you for taking the time to publish this information very useful! funny videos for kids under 11

»