Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mafumba ya ngozi

Mafumba madogo madogo ya ngozi ya  ng’ombe husababishwa na kirusi kinachoenea upesi kwa jina papillomavirus. Aina nne za kirusi hiki zinatambulika kusabaisha mafumba ya ngozi kwa ng’ombe.Ndama ndio huadhirika kwa urahisi na kesi za mafumba madogo madogo ya ngozi zikionekana katika ng’ombe wenye zaidi ya miaka miwili.Mafumba huoenekana mwezi 1 hadi 6 baada ya kuambukizwa na kirusi.Sio wanyama wote mwenye virusi hivi hupata mafumbu ya ngozi.Unaweza kusambazwa kutoka kwa mdudu ama mnyama anayesambaza ugonjwa ambaye hakuwa anatarajiwa hadi kwa ndama anayeweza kuadhirika kwa urahisi.

Mafumba madogo madogo huwa sanasana tatizo la sura kuliko la kimwili.Mafumba haya hukauka na kuanguka baada ya miezi kadhaa.Huu uponaji wa hiari yamkini ndio msingi wa mafanikio ya matibabu ya nyumbani Kama kufikicha na mafuta tofauti tofauti,dawa za meno za aina tofauti tofauti.   

Ikiwa kuna mlipuko mbaya katika kundi la wanyama chanjo iliyojengwa kutoka kwa kitu katika mwili wa mnyama anayefaa  kuchanjwa inaweza kutengenezwa na kutoka kwa mafumba madogo kutoka kwa wanyama katika kundi yaliyotibiwa na kemikali.Chanjo hii ni ya  kufaa ikiwa una uzao au aina ya papillomavirus inayosababisha mafumbo madogo madoago kwenye ngozi  katika kundi la wanyama badala yachanjo zinazouzwa.Mafumba madogo madogo kwenye ngozi yanaweza kutolewa kwa upasuaji na makasi ama side cutter. 

 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None