Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Dalili

Dalili

Kirusi cha ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe husababisha magonjwa sugu na yasio sugu katika ng’ombe. Rika zote za ng’ombe zinaweza kuadhirika , lakini ndama wachanga ndio huadhirika pakubwa na ugonjwa huu.Ukali wa ugonjwa hutegemea kipimo cha   chanjo na  vilevile urahisi wa kuadhirika kwa mnyama(Bos taura huadhirika kwa urahisi kuliko Bos indicus) na njia ya uhatarishaji.Homa 104-107 F(40-41.5 C)inaweza kutokea na inaweza kuchukua hadi wiki 4.Kwa kawaida kwa mda  wa chini ya siku 2  baada ya kutokea kwa homa mavimbe yenye upana wa centimeta 1-5 hutokea kwenye 

ngozi.Mfadhaiko,kukosa hamu ya chakula,utokaji mate wa kupindukia,utokaji wa Maji kwenye macho na mapua,agalactia,  na kudhoofika hujitokeza.Vivimbe vyenye upana wa centimeta 1 hadi 7 vinaweza kutokea mahali popote mwilini lakini haswa kwenye ngozi ya pua na mdomo,mashimo ya mapua,mgongo miguu,mfuko wa pumpu,sehemu ya chini ya tumbo,vigubiko,chini ya masikio,utando telezi na mkia.Nywele husimama wima katika majeraha ya awali.Vivimbe huwa vichungu na huhusu ngozi ya  nje,ngozi y ndani  na chini ya ngozi katika mkusanyiko,wa seli mwilini na inaweza pia kuhusisha rusu iliyoko chini ya ngozi.Ugonjwa unapoendelea kuzidi,vivimbe hufa na na hatimaye vigaga vyenye vina hujijenga;Jeraha hili huitwa sitfast.Ambukizo la pili la bakteria linaweza kutatiza uponaji na kupata nafuu.Majeraha kwenye matiti yanaweza kusababisha ambukizo la pili sugu la bacteria na kupotea kwa robo kwa sababu ya uvimbe kwenye matiti. 

Mahali ujumulishaji mkubwa hufanyika ,wanyama wanaweza kuwa vilema na kusita kusonga kwa sababu ya ongozeko la maji baina ya mkusanyiko wa seli.Ulemavu unaweza kutokea kwa sababu ya uvimbe wa kano,ala za  kano(tendosynovitis), viungo(synovitis), na kisahani kinachotoa ulinzi katika kwato(laminitis).Ongozeko la maji  baina ya mkusanyiko wa seli katika kidari na mguu hutokea.Ikiwa ambukizo la pili la bakteria litatokea kwenye uvimbe wa kano na viungo,ulemavu wa kudumu uwnaweza kutokea.Vinundo vya juu juu vya limfu kama mfupa wa utaya,karibu na maskio,prescabular,na vinundu vya prefemoral,vinavyosafisha sehemu za ngozi zilizoadhirika huongozeka ukubwa hadi mara 4 hadi 10 zaidi ya ukubwa wao  wa kawaida.

Uavyaji mimba unaweza kutokea kwa sababu ya ya homa isiyokwisha.Davies (7) ameripoti mambukizo katika mji wa mimba ya vijusi vinavyo chukua mda mrefu ambavyo ndama huzaliwa na vidonda vya kufumba kwa ngozi ya ng’ombe.Ugumba wa Kudumu ama wa mda katika ng’ombe dume unaweza kusababishwa na homa ama majeraha katika viungo  vya uzazi.Ng’ombe labda hawawezi kupata msisimko wa kujamiana kwa miezi kadhaa baada ya kuadhirika na ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe.

Majeraha yanaweza kuendelea katika vipindi kadhaa katika mda wa wa wiki 4 hadi 6.Utatuzi wa mwisho wa majeraha kunaweza kuchukua miezi 2 hadi 6,na vinundu vinaweza baakia vikionekana kwa mwaka 1 hadi 2.Uharibifu wa kudumu kwa ngozi  hauwezi kuepukika katika kesi za kliniki.

Majeraha ya jumla

Majeraha ya jumla ya ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe yameelezwa vyema.Vinundu vya ngozi vina msongomano,utokaji wa damu,ongozeko la maji baina ya mkusanyiko wa seli,na kuvimba kwa mishipa ya damu na kufa kwa seli na huhusisha   rusu zote za ngozi ya juu,ngozi ya ndani,mkusanyiko wa seli chini ya ngozi,na kujipanga kwa misuli mwilini.Vinundu vya limfu vinavyosafisha 

sehemu zilizodhurika huongozeka ukubwa wa hadi mara 10 ya ukubwa wao wa kawaida na ongezeko mkubwa wa vinundu, ongozeko la maji baina ya mkusanyiko wa seli,msongomano wa utokaji wa damu. 

Utando telezi wa kijishimo cha mdomo na mapua unaweza kuwa na majeraha ya ndui yanayoungana katika hali mbaya.Majera ya ndui yanaweza kutokea katika koromeo,kidakatonge na koo.Majeraha ya ndui yanaweza kuonekana kwenye mapafu lakini huonekana katika maeneo muhimu ya mapafu yaliyo haribika na ongozeko la maji baina ya mkusanyiko wa seli.Kasti3ka kesi mbaya,pleuritis inaweza  kutokea na ongozeko la ukubwa vinundu vya limfu katika sehemu ya kifua. 

Uvimbe wa utando unaolainisha viungo na uvimbe wa kano na chembe chembe katika damu inasadia katika kufanyika kwa donge la damu katika ugiligili unaolainisha viungo unaweza kutokea.Majeraha ya ndui yanaweza kuweko katika pumbu na mfuko wa mkojo.

Magonjwa na vifo

Utokeaji wa ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe hubadilika kutoka asilimia 3 hadi 85 (10,15, na 22) na kwa sana hutegemea utapakaaji wa mdudu anayesambaza magonjwa na na urahisi wa ng’ombe kuadhirika.Vifo kwa ujumla viko chini (asilimia 1  hadi 3).Katika mlipuko mmoja wa ugonjwa huu huko Afrika Kusini,vifo vilikuwa ni kama asilimia 20 wakati chanjo ya anaplasmosis ilipotayarishwa kutoka kwa damu ya  ng’ombe iliyochafuliwa na LSDV(9,10).Vifo vya juu visivvyo vya kawaida(asilimia 75 hadi 85) katika milipuko mwingine wa ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe havikuelezwa(9,10). 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None

I think this is a really good article. You make this information interesting and engaging. You give readers a lot to think about and I appreciate that kind of writing.
customer testimonials

»

I think that thanks for the valuabe information and insights you have so provided here.
mind blowing funny pictures tumblr

»

This is really a nice and informative, containing all information and also has a great impact on the new technology. Thanks for sharing it
usb 3 flash drive

»

I read that Post and got it fine and informative. Please share more like that...
aquarium

»

Superbly written article, if only all bloggers offered the same content as you, the internet would be a far better place..
halogen light bulbs

»

It was wondering if I could use this write-up on my other website, I will link it back to your website though.Great Thanks.
wordpress tutorial for beginners

»

This is such a great resource that you are providing and you give it away for free. I love seeing blog that understand the value of providing a quality resource for free. funny videos online to watch

»