Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Ubainishaji wa ugonjwa

 

Ubainishaji wa ugonjwa kiwanjani

Ubainishaji wa kujaribia wa ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe unaweza kuwekwa kwa msingi wa dalili za kliniki.Ugonjwa wa kumbukizana  wenye vifundo vya ngozi na wenye  kawaida ya kupinduka kwa vinundu  vya ngozi iliyokufa vinavyofanana na koni(sitfast),homa isiyoisha,kudhoofika na vifo vichache vinaashiria ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe. 

Sampuli za Maabara

Ngozi  ya mkusanyiko wa seli wa majeraha ya awali(zile ambazo hazijakufa) hutoa sampuli zinazoweza kutumiwa katika kutenga virusi,utafiti wa mabadiliko ya magonjwa ambayo hayawezi kuonekana ila tu kwa hadubini katika mkusanyiko wa seli zilizogonjeka  na uhadubini wa elektroni.Sampuli zinafaa kuchukuliwa kutoka kwa angalau wanyama watatu.Sampuli zilizotolewa kutoka kwa vinundu vya limfu vilivyoongezeka kwa ukubwa zinafaa kutumiwa katika kutenganisha virusi.Sampuli za kutenganisha virusi zinafaa kusafirishwa hadi kwenye maabara chini ya barafu  chepechepe.Ikiwa zitawasili baada ya siku 2 na kusafirishwa chini ya barafu kavu ikiwa wakati mwingi utahitajika.Sampuli za utafiti wa mabadiliko wa magonjwa kwenye mkusanyiko wa seli amabayo hayawezi kuonaekana ila tu kwa hadubini zinafaa kuhifadhiwa katika aslimia kumi ya fomalini iliyo na bafa.(USIWEKE KWENYE JOKOFU).Sampuli  za protini ya damu zinafaa kuchukuliwa kutoka kwa hali kali na mahututi.Sampuli za nyongeza za protini ya damu(sampuli za afueni) zinafaa kuchukuliwa wiki 2 ama 3 baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza kwa vidonda vya ngozi. 

Ubainishaji wa ugonjwa katika maabaara 

 Kuhakikisha ubainishaji wa awali wa ugonjwa katika maeneo ambayo hayadhurika na ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe, virusi vinaweza kutengwa  na kutambuliwa.Utaratibu wa maabara wa kubainisha ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe unaojumulisha utengaji wa virusi katika pumbu za mwana kondoo ama seli za mapafu za vijuzi vya ng’ombe vilivyopandwa kwenye maabara  ama zote. 

Ubainishaji wa kutofautiana

Yaliyoodhoreshwa hapa chini ni magonjwa  kadhaa yanayofaa kuangalia katika ubainishaji wa kutofautiana wa ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe: 

Ugonjwa wa malengelenge ya neva ngozini katikas matiti ya ng’ombe(huitwa pia ambukizo la virusi vya Allerton unaosababishwa na Bovid Herpesvirus-2)-vidonda ni vya juujuu(huhusisha tu ngozi ya juu) na hutokea sanasana katika sehemu tulivu za mwili kama matiti, mdomo na mapua.Kwa ujumla vidonda vya ngozi vinaweza kutokea na huambatana na  homa  isiyo dumu(siku 1 hadi 3).Utatuzi wa vidonda ni wa haraka na husababisha focal alopecia lakini sio uharibifu wa ngozi. 

Streptotrichosis (ambukizo la dermatophilus congolensis)-Vidonda huwa ni vya juujuu(mara kwa mara huwa na unyevu na hutokea katika magamba)vigaga ama centimeta 0.5- hadi 2 kwa upana na ongozeko la nyenzo za keratini.Vidonda huwa kawaida kwenye ngozi shingo,eneo la kwapajani,eneo la kinena na eneo la mwili lililo chini ya fupanyonga.Kiumbe hai kinaweza kudhihirishwa kwa kutiwa doa wa Giemsa.

Choa-Vidonda vya choa katika ng’ombe ni vya kijivu,vimeinuka,vinafanana na bamba na mara kwa mara huwa vya kujikuna kuna.Kiumbe hai kinaweza kudhihirishwa na doa la fedha.

Ambukizo la mkusanyiko wa seli zilizoko chini ya ngozi ya ng’ombe-Kiwiluwilu cha nzi mnyonyaji wa huyu kupe wana mapendeleo ya kuhamia ngozi ya nyuma ya mgongo.Husababisha kinundu chenye shimo dogo lililo katikati ambalo kiwuliwilu  hutoka kwa mwili,na husababisha uharibifu mkubwa wa ngozi.

Kuongeza hisia ya kiumbe hai ama kitu kwa mwangaza-Sehemu zilizofura ambazo ni kavu,na zenye kubanduka huzuiliwa kwa sehemu za ngozi ambazo haziajawekewa rangi. 

Bovine popular stomatitism-Vidonda vinavyo fanana na ndui hutokea katika ngozi iliyoko kwenye pua na mdomo,mvungu wa mdomo,na umio.Hakuna magonjwa ya ujumla.

Mng’ato wa wadudu- Kiwewe kutoka kwa mng’ato wa mdudu husababisha kufura, ongozeko la maji katika mkusanyiko kwa seli na kusikia kujikunakuna.Wadudu sio rahisi wang’ate utando wa makamasi.  

Vipele vya ngozi-Athari za kucheleweshwa kwa kiwango cha hisi kupita kiasi kinaweza kukanganywa na ugonjwa wa kufumba kwa ngozi ya ng’ombe.Vidonda kama hivi hupona chini ya siku 3 hadi 5.Mfano wa hili ulidhihirishwa na Shimshony(1989) mahali athari ya mzio ulifanyika baada ya  chanjo  na  chanjo ya ugonjwa wa midomo na miguu. 

Besnoitiosis(Globidiosis)-Mavimbe(yaliyojaa maji)katika ngozi husababishwa na kiumbe hai kimelea kinachozalisha kwa kutumia kiiniyoga cha nasaba 

Besnnoitia,vinavyosambazwa na aina fulani ya nzi zinazouma.Sehemu za histolojia zitaonyesha kimelea. 

 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None

Superbly written article, if only all bloggers offered the same content as you, the internet would be a far better place..
hair loss protocol download by jared gates

»

This is an incredible moving article.I am essentially satisfied with your great work.You put truly extremely accommodating data... logo design services

»

Its a great pleasure reading your post.Its full of information I am looking for and I love to post a comment that "The content of your post is awesome" Great work.
get more dates with guys using this online profile

»

That is really nice to hear. thank you for the update and good luck.
funny picture editor download

»

I just found this blog and have high hopes for it to continue. Keep up the great work, its hard to find good ones. I have added to my favorites. Thank You.
bearpaw emma short

»

I'm glad I found this web site, I couldn't find any knowledge on this matter prior to.Also operate a site and if you are ever interested in doing some visitor writing for me if possible feel free to let me know, im always look for people to check out my web site.
internet marketing forum

»

This is really a nice and informative, containing all information and also has a great impact on the new technology. Thanks for sharing it,
www.chape-braspenning.be

»

This is my first time i visit here. I found so many interesting stuff in your blog especially its discussion. From the tons of comments on your articles, I guess I am not the only one having all the enjoyment here! keep up the good work
best website to buy instagram followers

»

I can set up my new idea from this post. It gives in depth information. Thanks for this valuable information for all,.. funny video ideas for youtube

»

I can set up my new idea from this post. It gives in depth information. Thanks for this valuable information for all,.. funny video ideas for youtube

»