Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Aina za Kunde

Ungetaka kukuza maharagwe,kunde ama maharagwe aina ya soya?

Hii ni mimea ambayo huwa na mbegu ndogo ndogo ambazo huwa ndio matunda yake. Hizi mbegu huwa na madini kiwango cha juu ya protini na matawi yake na mimea iliyo michanga yaweza kuliwa kama mboga. Hapa kuna baadhi ya mimea aina ya kunde inayokuzwa nchini Kenya:

Maharagwe
Kunde
Soya

Reference and appreciation
BioVision | Foundation for Environment and Development
http://www.infonet-biovision.org/