Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Elimu husaidia kutayarisha msichana kuwa mama

Uelimishaji wa watoto wako wa kike huanzisha mwendo ambao unaweza kusababisha uboreshaji wa familia na jamii yako.

Kama mwanamke aliyeelimika, mtoto wako wa kike ataweza kujitolea utunzaji ulio bora kabla ya mtoto wake hajazaliwa pamoja na utunzaji wa kabla na baada ya mtoto kuzaliwa. Anapowatunza watoto wake, ataweza kusoma maagizo ya daktari na kuyafuata kwa makini.

Pia atahakikisha ya kwamba watoto wake wa kike,kama yeye mwenyewe wanapata elimu ili kuendelea kuboresha maisha yao.Mtoto wako wa kike aliyeelimika ataanza kuwafunza watoto wake wakiwa katika umri mdogo sana.Kwa sababu atajua jinsi ya kusoma,anaweza kuwasomea watoto wake na kuwafunza herufi na nambari.


 

0
No votes yet
Your rating: None