Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuumwa na mnyama au binadamu

Ukiumwa na mnyama kipenzi au binadamu ni sawa na kuumwa na mbwa mwitu, unahitaji kumuona daktari.

Ukiumwa na mbwa mwitu ni hatari, au mbwa ambaye hajachanjwa atakuambukiza ugonjwa wa kichaa cha mbwa ambao ni hatari sana.

Unachotakiwa kufanya ikiwa ngozi haijakatika:

  • Akiwa mnyama kipenzi aliyechanjwa na alipokuuma ngozi haikukatika, unaweza kutibu nyumbani.
  • Osha ulipoumwa kwa maji na sabuni.
  • Paka kiuwaviini kama “Betadine” ulipoumwa.
  • Funika kwa bendeji au pamba.


Unachotakiwa kufanya ikiwa ngozi imekatika:
Ukiumwa na mnyama au binadamu na jeraha liwe kubwa muone daktari.Pia waweza kumuona ikiwa:

  • Una uvimbe, usaa unatoka au una joto mwilini.
  • Umeumwa na mbwa koko.
  • Hujachanjwa pepopunda zaidi ya miaka mitano.
  • Una hisi mchonyoto ulipoumwa baada ya siku 3-7.
  • Una hisi ugumu kwenye mfupa wa taya, shingo na misuli zaidi: una kasirika haraka, au unahisi sukasuka kwa uchungu.
0
No votes yet
Your rating: None