Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Usalama wa mtoto

Hapa pana vidokezo rahisi vya kuhifadhi usalama wako na wa mototo wako na kuishi maisha ya afya na furaha..

 • Hakikisha umemkalisha motto kwenye kiti spesheli cha watoto unaposafiri naye.Viti hivi hupunguza uwezo wa kupata majeraha ajali itokeapo kwa asilimia 80%.Muulize daktari,wakala wa magari au kodi kiti hiki.Hakikisha kiti hiki kimeidhinishwa kutumiwa na watoto wachanga.
 • Usimlaze motto kwenye sofa, au godoro la maji.Mchunge motto mnapo lala naye katika kitanda chako, kufinya ni rahisi.
 • Maji ya motto kuoga yanafaa kuwa na joto kidogo, tumia kiwiko cha mkono au kifundo kujua joto la maji kabla hujamtumbukiza ndani ya maji.Usiwaache watoto waende kwenye kizingia cha maji au mfereji wa maji moto.Miili yao ni hafifu kwa maji moto.
 • Usimuache mototo bafuni peke yake ndani ya maji.
 • Vibonzo vilivyo na nyuzi ndefu viweke mbali na motto ni rahisi kujinyonga na nyuzi hizi.Titibandia lisiwe na uzi wowote unaweza kumnyonga motto.
 • Tumia milango ya usalama kwa watoto, hakikisha uziba mwanya kumzuia kutoka.
 • Usimlishe motto vyakula ambavyo vyaweza kumnyonga kama mahindi, njugu, nakadhalika.
 • Nyaya za stima zisiwe karibu na watoto ili wasiziguse au kuzitia mdomoni, funika sehemu za stima zilizo ukutani kwa usalama.
 • Hakikisha sakafu, meza, na kabati hazina vitu kama pete,gololi, ambavyo motto ni rahisi kuvimeza.
 • Usivute sigara, tumia kiberiti,au kinywaji moto ukiwa umemshika motto.Zima mabaki ya sigara.
 • Vifaa vyote vitumiavyo stima view mbali na watoto.
 • Nunua kifaa cha kuzima moto nyumbani.
 • Hakiksha nambari za dharura zinaonekana wazi kama, 999 au za daktari wako.
 • Hakikisha nyumba yako haina madini ya risasi.
3
Average: 3 (1 vote)
Your rating: None