Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Magonjwa ya Kurithi Yapatikanayo Katika Familia

Je, unajua historia ya magonjwa ya familia yako? Pengine unajua tu kuhusu mambo makubwa. Usishangae kwa mfano, kugundua kuwa nyanyako mkuu na dada zake watatu wote walikufa kutokana na saratani ya matiti, ingawa ugonjwa huu haukujitokeza kwa mama yako. Ama pengine unajua kuwa babako na ndugu zake wana ugonjwa wa Shinikizo la Damu mwilini na hujui iwapo ni la juu au la chini ama namna ugonjwa huu ulivyowaathiri.

Kuna aina fulani ya magonjwa ambayo hupatikana katika familia. Mengine yanayotokana na hali ya kurithi na mengine kwa sababu familia hushiriki mazingira yale yale (mahali wanapoishi, aina ya chakula n.k.) Hali zinazojitokeza bayana sanasana ni zifuatazo.
 
Kuna jeni (Genes) mbili ‘Breast Cancer Gene 1’ na ‘Breast Cancer Gene 2’ ambayo inaweza kupitishwa katika familia kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Iwapo mojawapo wa familia yenu, hasa mama, dada au binti amewahi kuugua saratani ya matiti, muhimu hata nawe ufanyiwe ukaguzi na uchunguzi wa kila mara wa matiti yako.
 
Huweza kusababishwa  jeni (genes) kutoka kwa matiti zilizoathiriwa na saratani ya matiti. Iwapo, mamako, dadako au bintiyo amewahi kushikwa na saratani ya uzazi, uko kwenye hatari ya kuupata ya asilimia 5 (5%) katika maisha yako. Ni muhimu uangaliwe na ukaguliwe chembechembe za seli za sehemu za uzazi (papsmears) ili ugunduliwe mapema iwapo una huu ugonjwa.
 
Hali hii inaweza kudhibitiwa kwa matibabu, lishe bora na kufanya mazoezi. Hata hivyo, watu wengi huwa hawatambui kuwa wana huu ugonjwa hadi wakati ambapo wamechelewa mno. Iwapo una wazazi ambao wana hali hii, ni muhimu ukaguliwe kila mara ili upate matibabu mapema.
 
Hii ndiyo kansa hatari sana ya ngozi. Kiwaa cheusi (mole) hubadilika na kuwa uvimbe. Familia zingine zina aina ya FAMM yaani Familial Atypical Multiple Mole Melanoma. Iwapo mtu yeyote katika familia yenu amewahi kuwa na aina hii ya saratani ni muhimu uangaliwe kila baada ya miezi mine au sita. Iwapo una kiwaa ambacho kinabadilika na kuwa na uchungu na kuvimba enda hospitalini kichunguzwe mara moja.
 
Kolestroli ya juu (High Cholesterol)
Unaweza kudhibiti hali hii kupitia kwa lishe bora iwapo mchunguzi hali hii na unaye mzazi au rafiki ambaye amewahi kupata ugonjwa wa moyo kabla afikie miaka 55 kuna uwezekano kuwa unaweza kupata ugonjwa huu. Hakikisha kuwa unakaguliwa kila mara.
 
Aina ya 1 na 2 zinaweza kurithishwa katika familia. Hivyo basi iwapo mojawapo ya watu wa familia yako amewahi kuugua aina yoyote ile ni muhimu kiwango cha sukari mwilini mwako kikaguliwe kila mara na uhakikishe kuwa, kiwango chako cha sukari mwilini kinachunguzwa. Jambo la kuhuzunisha ni kwamba aina ya 1 haiwezi kuzuilika. Lakini ya pili inaweza iwapo mtu atafanya mazoezi na kula lishe bora.
 
Glaucoma – Ugonjwa wa Macho
Iwapo katika familia yako kuna historia ya Glaucoma, kuna uwezekano mkubwa wako kuupata ugonjwa huu kwa sababu una uhusiano wa uzazi. Hali hii haitibiki kabisa lakini inaweza kuzuiliwa.
 
Hii hali hufuata historia ya familia na inaweza kurithishwa. Hata hivyo si lazima mtu arithi, unaweza kujitokeza tu hata bila mtu yeyote katika familia kuwahi kuwa nao.
 
Kuna uwezekano wa mtu kushikwa na Alzheimers iwapo wazazi wake au madugu wamewahi kuwa nao.
 
Iwapo mtu ana shida ya mzio kuna uwezekano wa 50% kuwa mtoto wake atakuwa na shida hii. Iwapo wazazi wote wawili wanamzio kuna uwezekano wa 75% kuwa mtoto wao atakuwa nayo. Ugonjwa wa pumu (Asthma) mara nyingi unasababishwa na mzio na watoto wengi walio na asthma pia wana mzio.
5
Average: 5 (2 votes)
Your rating: None

according to obat keputihan gatal , a hereditary disease sometimes makes a burden to the child, although not all of them.

»

This is a truly good site post. Not too many people would actually, the way you just did. I am really impressed that there is so much information about this subject that have been uncovered and you’ve done your best, with so much class. If wanted to know more about green smoke reviews, than by all means come in and check our stuff.
bezoek website van plaatser

»

A debt of gratitude is in order for offering pleasant data to us. i like your post and all you impart to us is uptodate and entirely useful, i might want to bookmark the page so i can come here again to peruse you, as you have made a superb showing. Niche Relevant backlinks services

»

This was an excellent page for such a hard subject to talk about. I look forward to reading many more great posts like these. Thanks
how do you keep a man sexually interested

»

If you set out to make me think today; mission accomplished! I really like your writing style and how you express your ideas. Thank you.
peliculas online gratis peliculas completas

»

Article Amazing Obat Aborsi

»

Just admiring your work and wondering how you managed this blog so well. It’s so remarkable that I can't afford to not go through this valuable information whenever I surf the internet!
http://textmate2.org/

»

It was wondering if I could use this write-up on my other website, I will link it back to your website though.Great Thanks.
https://www.rebelmouse.com/thediabetesprotocolreviews/

»

I think this is an informative post and it is very useful and knowledgeable. therefore, I would like to thank you for the efforts you have made in writing this article.
https://rebelmouse.com/dramamethodreview/

»

I think this is an informative post and it is very useful and knowledgeable. therefore, I would like to thank you for the efforts you have made in writing this article.
https://facebook.com/textyourexbackreview

»

Its a great pleasure reading your post.Its full of information I am looking for and I love to post a comment that "The content of your post is awesome" Great work.
http://www.girlfriendactivationsystemreviews.com

»

Its a great pleasure reading your post.Its full of information I am looking for and I love to post a comment that "The content of your post is awesome" Great work.
aquarium

»

I wanted to thank you for this great read!! I definitely enjoying every little bit of it I have you bookmarked to check out new stuff you post.
natural skin bleaching cream

»

I am happy to find your distinguished way of writing the post. Now you make it easy for me to understand and implement the concept. Thank you for the post.
compra venta relojes

»

Nice to read your article! I am looking forward to sharing your adventures and experiences. taxi sölden

»

Absolutely fantastic posting! Lots of useful information and inspiration, both of which we all need!Relay appreciate your work. watch movies online free no account needed

»

Ni kweli kwamba magonjwa mengi huambatana sambamba na historia ya familia yako. Jinsi ulivo patiana mifano hapa kwa maandishi, magonjwa kama saratani ya matiti, saratani ya mapafu ama saratani ya damu hupitishwa kwa ukoo mmmoja hadi mwingine. Jinsi nilivyo shuhudia mwenyewe, nyanya ambaye ni mama mzazi wa mama yangu alipimwa na kupatikana na ugonjwa wa saratani ya damu. Baada ya kufariki miaka saba iliyopita, dada yangu pia alishikwa na ugonjwa uo huo.
Asante kwa kutueleza kinaga ubaga jinsi ya kujua na kukabiliana na haya magonjwa.
Essay help

»