Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Cha Kuweka Kwenye Rafu Yako Ya Kuweka Dawa

Hutegemea na mahitaji ya familia yako ya kimatibabu na yako pamoja na yale madawa ambayo daktari hukupa ni muhimu uweke dawa zifuatazo zikusaidie wakati wa dharura unapotoa huduma ya kwanza.

 • Dawa ya Aspirin/kwa watu wazima pekee lakini si kwa kina mama waja wazito
 • Dawa ya kuzuia mchomo wa moyo za Antacid
 • Dawa ya kupuliza katikati vidole iwapo vinanuka (ama kupaka)
 • Dawa za kukinga zile zilizo (zisizochukuana na mwili wako)
 • Dawa za kujipaka iwapo umejikata au ukiwa na jeraha
 • Dawa za kusafisha vidonda
 • Dawa za kukabiliana na kuhisi kutapia au ya kunywa tu
 • Dawa ya kujipaka ya Calamine iwapo una mwasho mahali
 • Dawa ya kukohoa na kuzuia mafua na homa
 • Ya kupunguza mafua iwapo pua limeziba na kifua kimejaa
 • Za kufungua choo iliyofunga
 • Za kupoesha uchungu kwa watu wazima na watoto
 • Dawa za unga za kuchanganya na uji na kunwa iwapo mtu anaendesha sana na kupoteza maji mengi mwilini
 • Spiriti ya kusugua
 • Kusaidia mtu kupata usingizi
Iwapo unatumia mojawapo ya hizi dawa kutibu hali fulani na huponi mbali unadhoofika zaidi muone daktari au enda hospitalini.
 
Cha kuweka katika kisanduku cha huduma ya kwanza (First Aid Kit)
 • Bandeji ya gluu
 • Dawa ya kuosha ya kuzuia maambukizi na kuwa na vijidudu (anti-biotic0
 • Dawa ya kupaka
 • Dawa ya Aspirini au Paracetamel
 • Plasta, pamba, tepu za dawa na makasi
 • Spiriti ya kusugua
 • Kibanio - Tweezers
 • Glavu za raba
0
No votes yet
Your rating: None

first aid medication reviews could be a reference to obat keputihan gatal and jas hujan axio yogya

»

Your website is really cool and this is a great inspiring article.
funny dog pictures pinterest

»

Nice to be visiting your blog again, it has been months for me. Well this article that i've been waited for so long. I need this article to complete my assignment in the college, and it has same topic with your article. Thanks, great share.
ice cream scoops

»

This is my first time i visit here. I found so many interesting stuff in your blog especially its discussion. From the tons of comments on your articles, I guess I am not the only one having all the enjoyment here! keep up the good work
seo nashville

»

Wow what a Great Information about World Day its very nice informative post. thanks for the post.
funny video downloads for free games

»