Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ni kwa mda upi ambao mtu aliyeathiriwa na kifafa anapaswa kutumia dawa?

Mtu aliyeathiriwa na kifafa anapaswa kutumia madawa aliyopewa hadi ashauriwe vingine. Kwa kutegemea wingi wa kutokea kwa visa vya kifafa, wagonjwa wanaweza kutumia dawa kwa maisha yao yote.Katika watoto,hata hivyo mambo yanabadilika. Kitambo, ilichukuliwa ya kwamba mtoto mwenye kifafa angehitajika kutumia madawa kwa miaka mingi ya maisha yake. Lakini hali sio hivyo tena. Ikiwa mtoto anatumia madawa kwa njia inayofaa na kwa wakati bila ya kukosa hata kipimo.cha dawa na anabakia bila kifafa kwa angalau miaka 2, basi dakitari anaweza kufikiria kusimamisha utumizi wa madawa. Ni dakitari pekee yake anayeweza kutoa ushauri kuhusu kusimamaisha matumizi ya madawa ya kifafa baada ya kumfuatilia mgonjwa kwa kipindi fulani cha mda. Ni muhimu maamuzi haya yafanywe na dakitari, kwa sababu mwanzo utumizi wa madawa umeanza haufai kukatizwa kwa ghafla. Badala yake dakitari atapunguza kipimo cha dawa pole pole hadi matumizi ya dawa umesitishwa. Ukisitisha dawa kwa ghafla, kuna madhara ya kando kama kumwa na tumbo, kutapika na kutomakinika na kuzirai kunaweza kujirudia.
 
Kwa hivyo, jambo muhimu ni kuzungumza na dakitari wako kuhusu kusimamisha matibabu. Ikiwa mtoto hajafuzu kwa ajili ya kusitishwa matibabu kwa sasa, na kisha aendele kutokana na ushauri wa dakitari. Ikiwa mtoto atafuzu, basi hili linafaa kufanywa kwa utaratibu. Wakati kipimo cha dawa kinapunguzwa, ni muhimu kukumbuka ya kwamba mtoto anaweza kushikwa na kifafa. Waweke wakiwa salama na waangalie kwa karibu hadi dawa zote zimesitishwa kabisa na kila kitu kiko salama.
3
Average: 3 (2 votes)
Your rating: None

Interesting reviews for obat keputihan gatal and jas hujan axio yogya as discussed in epilepsy drug case

»

This is my first time i visit here. I found so many interesting stuff in your blog especially its discussion. From the tons of comments on your articles, I guess I am not the only one having all the enjoyment here! keep up the good work
funny pictures with music

»

Thanks for sharing nice information with us. i like your post and all you share with us is uptodate and quite informative, i would like to bookmark the page so i can come here again to read you, as you have done a wonderful job.
luxury rebel

»

Positive site, where did u come up with the information on this posting? I'm pleased I discovered it though, ill be checking back soon to find out what additional posts you include.
nashville advertising agencies

»

Excellent and very exciting site. Love to watch. Keep Rocking.
linkedin profile tips

»
»