Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ni mda gani unaochukuliwa ili kudhibiti kifafa?

Wagonjwa tofauti wana aina tofauti za kifafa na aina tofauti za kifafa hudhibitiwa kwa njia tofauti.Baada ya kubainika kumehakikishwa, mgonjwa huwekwa kwenye kipimo kimoja cha dawa hapo mwanzoni.Hushauriwa kurudi baada ya mwezi ama zaidi dakitari atathmini ikiwa dawa inadhibiti kifafa kwa njia inayofaa.Ikiwa sivyo, basi kipimo cha dawa huongezwa pole pole.Na ikiwa hii haina mafanikio, basi dawa ya pili huongezwa na ikiwa inahitajika, dawa ya tatu itaongezwa.
 
Mda unaochukuliwa kwa ugonjwa wa kifafa kudhibitiwa hutofautiana kutoka kwa mgonjwa hadi kwa mwingine.Ugonjwa wa kifafa wa mgonjwa mmoja unaweza kudhibitiwa kwa dawa moja tu.Katika visa vingine, mgonjwa anaweza kuwa akitumia madawa 3 na bado anaathirika na kifafa, ingawaje idadi ya kuzirai kunakosababishwa na kifafa kutapungua ukilinganisha na hapo awali.Wagonjwa wengine hutibika haraka kuliko wengine na aina zingine za kifafa huwa rahisi kudhibiti kuliko zingine.
 
Hakuna mbinu iliyobainika katika kudhibiti kifafa.Lengo la matibabu ni kupunguza idadi ya kuzirai kunakoathiri mgonjwa na ikiwa inawezekana kusimamisha kuzirai kabisa kwa mda mrefu.
0
No votes yet
Your rating: None

This is such a great resource that you are providing and you give it away for free.
funny pictures of the day.net

»

I can see that you are an expert at your field! I am launching a website soon, and your information will be very useful for me.. Thanks for all your help and wishing you all the success in your business.
luxury rebel shoes

»

Your work is very good and I appreciate you and hopping for some more informative posts. Thank you for sharing great information to us.
nashville advertising agencies

»

Absolutely fantastic posting! Lots of useful information and inspiration, both of which we all need!Relay appreciate your work.
linkedin profile tips

»