Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Nitapata usaidizi wapi?

Hospitali iliyo karibu nawe itakutolea usaidizi. Watakuwa na dakitari ambaye atakuchunguza na atakushauri kuhusu uchunguzi wowote ama matibabu ambayo unaweza kuhitaji kutumia.

Pia unaweza kuwasiliana na shirika linalowashughulikia walio na kifafa nchini Kenya KAWE  http://www.kawe-kenya.org/

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None