Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ni nani yuko kwenye hatari ya kupata kifafa?

Ugonjwa wa kifafa unaweza kuathiri mtu yeyote katika umri wowote. Madhara ya ubongo ndio hali ya kawaida ambayo inaweza kusababisha kifafa baadaye. Matatizo wakati wa kujifungua,homa ya nyonga ya manjano katika mwezi wa kwanza wa maisha, magonjwa ya utotoni kama homa ya uti wa mgongo ni sababu za kawaida za kifafa katika watoto. Homa kali pia husababisha kuzirai kwa watoto wadogo. Katika visa vingine kuzirai huku hufanyika kila wakati kuna homa. Mtoto ambaye amezirai mara tatu ama zaidi ambako kuna uhusiano na homa anafaa kuwekwa chini ya matibabu dhidi ya kifafa.
 
Watu wazima ambao huathiriwa na madhara ya ubongo kwa sababu ya jeraha, ambukizo ama kwa sababu ya ugonjwa mwingine kama maradhi ya ini, maradhi ya figo wanaweza pia kuathiriwa na ugonjwa wa kifafa.
 
Ni muhimu kukumbuka ya kwamba ugonjwa wa kifafa unaweza kuwaathiri watu ambao hawana madhara yoyote ya ubongo ama ugonjwa wa hapo awali. Katika visa vingine hutokea katika familia, lakini wakati mwingi hutokea bila ya sababu yoyote inayojulikana.
1.5
Average: 1.5 (2 votes)
Your rating: None

Great post I would like to thank you for the efforts you have made in writing this interesting and knowledgeable article.
best thermogenic

»

Cool stuff you have got and you keep update all of us.
nashville seo company

»