Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Saratani ya Utumbo Mpana na Sehemu za Siri za Nyuma

Saratani ya sehemu za siri za nyuma zipo. Huambukiza sehemu za mmeng’enyo (digestive system) wa chakula. Watu wengi wanaopata ugonjwa huu ni wa umri wa zaidi ya miaka 50.

 
Matibabu yake yameimarika, lakini ni vyema kugundua mapema.Watu wanahitaji kufahamu madhara, dalili na umuhimu wa kupimwa na madaktari wao.
 
Walio hatarini kupatwa na saratani ya utumbo mpana:
 • Ajuza wa miaka 50 na zaidi.
 • Wanaokula vyakula vya mafuta mengi
 • Walio na maoteo (ndani ya utumbo mpana )
 • Wanawake ambao washaugua saratani ya matiti, au mji wa mamba au yai la mwanamke
 • Aliye wahi kuugua saratani ya utumbo mpana
 • Aliye na mzazi, jamaa au motto aliye na saratani ya utumbo mpana
 • Aliye na utumbo mpana wenye kiungulia (donda au uvimbe)
Dalili za saratani ya utumbo mpana ni:
 • Kuvimbiwa, kusokotwa au kujihisi tumbo limejaa sehemu ya chini
 • Kuhara, kufunga choo au kujihisi haukamilishi haja kabisa
 • Damu katika kinyesi
 • Kinyesi chembamba zaidi
 • Kupoteza uzito bila ya kufahamu kisababu
 • Kujihisi mchovu kila wakati
 • Kutapika

Hizi dalili zinaweza kusababishwa na shida nyingine ambazo si saratani. Muulize daktari wako ili ufahamu.

1.833335
Average: 1.8 (18 votes)
Your rating: None