Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Saratani ya Mapafu

Saratani ya mapafu ndio aina hatari ya magonjwa ya saratani, lakini ndio rahisi kuzuia.Uvutaji wa sigara husababisha  asilimia 9% kwa 10% ya kesi za ugonjwa huu.Matibabu ya ugonjwa huu yameimarika lakini bado hakuna tiba.Ili kuimarisha afya yako na walio karibu yako usivute sigara.

Pia hakikisha nyumba yako haina 'radon' gesi hatari isababishayo saratani ya mapafu.
 
Watu wengine wamo hatarini zaidi ya kupata saratani ya mapafu.  
 • Wanaovuta sigara au kiko, na hata usipo vuta moshi ndani, umo hatarini kupata saratani ya domo. Kukaa karibu na mvutaji sigara au kuishi naye ama kufanya kazi katika mazingira yenye moshi huongeza hatari hasa kwa watoto wasio na namna.
 • Kiwango kingi cha madini ya radon nyumbani mwako.
 • Kufanya kazi karibu na asbestos, aseniki, uranium au bidhaa kutokana na mafuta.
 • Kuwa na kifua kikuu. 
Ishara ya saratani ya mapafu ni nini? 
 • Kikohozi kisicho kwisha.
 • Kuumwa na kifua.
 • Kukohoa damu
 • Shida ya kupumua au kukorota upumuapo
 • Nimonia(kichomi) au mkamba usiyokwisha
 • Uvimbe shingoni au usoni.
 • Kupoteza uzito wako bila sababu au kutohisi njaa.
 • Kujihisi mchovi kila wakati.
 
Ukiwa na mojawapo ya dalili hizi, hasa ikiwa umo hatarini ya kupata huu ugonjwa, mwone daktari.

 

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None

Excellent article. Very interesting to read. I really love to read such a nice article. Thanks! keep rocking.
luxury rebel boots

»

I read that Post and got it fine and informative. Please share more like that...
linkedin careers

»