Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ugonjwa wa Sukari – Akiba ya ziada unayoihitaji.

Ugonjwa wa Sukari – Akiba ya ziada unayoihitaji.

Tukija kwa huu ugonjwa, hebu jifanyie hisani – fanya maandalizi kama rafiki wako wa karibu sana. Ukiwa na kila kitu unachohitaji, hukusaidia kukabiliana na afya yako vizuri zaidi. Pia hukuweka katika hali nzuri ya kukabiliana na jaribu lolote la dharura iwapo litatokea. Kwa mfano, iwapo uko mbali sana na nyumbani na hujala kwa zaidi ya masaa manne nyakua mara moja kutoka mkobani mwako chakula kidogo cha kulima kwa haraka ili uthibiti kiwango cha sukari mwilini. Iwapo huna uhakika na vitu vingine utakavyohitaji, tumia orodha hii kuhakikisha kuwa una akiba ya dawa za kutosha, chakula na zaidi. Kwa matumizi yako, bonyeza kwenye orodha upate nakala ya PDF.

Kupima na Kufuatilia

 • Kidude cha kupima kiwango cha sukari mwilini.
 • Test strips (utepe), lancets (wembe) na/au ruzuku zingine zinazoambatana na kidude cha kupima unachochagua
 • Vipimo vyaKetone test strips (idadi ya ketones kwa mkojo ni dalili ya sukari kuwa juu) na chombo safi cha kuwekea mkojo
 • Kitabu cha kuwekea rekodi ama jalada ya kufuatiia kiwango cha sukari mwilini, chakula ulacho na mambo mengine yanayohusu kukabiliana na ugonjwa huu.

Matibabu

 • Insulini na dawa zingine ambazo muhudumu wako wa kiafya amekuandikia utumie (Taabihi: matibabu haya sana sana ni ya ugonjwa huu iwapo si wa aina ya kwanza)
 • Vitu vya kutumia mtu anapotumia anapojidunga na Insulini; vile ambavyo mmejadiliana na mhudumu wako wa kiafya (mifano; kalamu ya insulini, bomba dogo an sindano, pampu ya insulini, bomba la kudungia dawa, n.k.)
 • Vitu vinavyoandamana moja kwa moja na vile vya dawa ya Insulini, na kile mgonjwa anahitaji katika maisha yake kila siku. (Mifano: pamba iliyowekewa dawa ya kuua viini, mahali ambapo mgonjwa atajidunga, sindano mpya za kutumia kwa kalamu ya dutu, makaa ya tochi na mabomba madogo kadhaa, kasha la usafiri linaloweza kufungika ili daw ya dutu ihifadhiwe humo ndani n.k.)
 • Kisanduku cha dharura cha Glucagon (homoni ya kuongezea kiwango cha sukari)
 • Tembe au jeli za sukari.

Vitu vinginevyo

 • Kifaa cha kurushia taka ya sindano ambazo zishatumika na vitu vingine vikali vinavyoweza kudunga.
 • Kadi ya kujitambulisha ama bangili ama kipande chochote cha kujifungia mahali mwilini ili mgonjwa atambulikane kwa urahisi kwa umma.
 • Ujumbe kuhusu nambari ya dharura ya mtu anayeweza kupigiwa simu iwapo mgonjwa ana tatizo.
 • Vifaa vya Insulinivya kujidungia, vile vinavyotakikana (k.v vifaa vya kuwasaidia wale ambao hawaoni vizuri, vya kujidungia n.k.)
 • Weka vyakula vidogo vya kuliwa kwa haraka bila kuhitaji kupikwa, katikati mwa saa maalum za mlo – kwa mfano Mkate mwembamba mgumu wa ngano ulio na siagi isiyo na mafuta mengi ama tofaa, kwa mfano
 • Vinywaji vilivyo na kiwango cha chini cha sukari, vya kutuliza kiu chako. Tumia ile soda maalum isiyokuwa na sukari au vinywaji visivyo na sukari kama ‘soda water’ ama maji ya kawaida.

Kumbuka kwamba mtu aliye na ugonjwa anafaa aishi maisha bora ya kujitunza kila wakati.

1.75
Average: 1.8 (4 votes)
Your rating: None

Very useful post. This is my first time i visit here. I found so many interesting stuff in your blog especially its discussion. Really its great article. Keep it up.
halogen light bulbs

»

Thanks for taking the time to discuss this, I feel strongly that love and read more on this topic. If possible, such as gain knowledge, would you mind updating your blog with additional information? It is very useful for me.
linkedin advertising

»