Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

  • Matibabu na njia za kukuwezesha kuishi na afya

Matibabu na njia za kukuwezesha kuishi na afya

Ugonjwa huu hautibiki. Lakini madaktari wanaweza kutibu dalili ndogondogo hata zile kubwa. Iwapo una huu ugonjwa na unahisi maumivu makali, madaktari watakupa dawa za kuzuia maumivu na vinywaji vingi.

Kuwekwa damu ingine kila mara kunasaidia kukabiliana na upungufu wa damu mwilini (Ni muhimu upewe damu nzuri)
 
Hapa kuna namna ambavyo unaweza kuishi ukiwa na afya nzuri.
  • Kila siku meza dawa ya asidi ya vitamini C (folate) ili ujenge upya chembechembe nyekundu zilizo asii ya kila kitu chenye uhai
  • Meza dawa za penisilini iliyoandikiwa kila siku mpaka utakapotimua miaka sita ili uzuie maambukizi
  • Kunywa maji mengi kila siku (kati ya glasi 8 – 10 kila siku kwa watu wazima)
  • Jiepushe kukaa mahali ambapo ni baridi sana au pana joto jingi sana
  • Jaribu usifadhaike au kuchosha sana mwili wako
  • Pumzika vya kutosha
  • Tazamwa inavyostahili kila mara na daktari anayejua sana kuhusu ugonjwa huu

 

0
No votes yet
Your rating: None

cheers for the actual article i have recently been on the lookout with regard to this kind of advice on the net for sum time right now so many thanks
heated ice cream scoop

»

I am very enjoyed for this blog. Its an informative topic. It help me very much to solve some problems. Its opportunity are so fantastic and working style so speedy.
garcinia cambogia

»