Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Magonjwa tegemezi yanayosababishwa na kuwa na virusi vya Ukimwi

Maambukizi tegemezi au Opportunistic infections (OI) kwa Kiingereza ni maambukizi yanayojitokeza na kuvamia mwili wakati kinga yako iko chini sana. Unayapata unapoanza kuwa na Ukimwi. Mengi ya maambukizi haya yanaweza kuathiri watu ambao hawana virusi vya Ukimwi. Lakini huwa ni hatari sana kwa watu ambao tayari wana Ukimwi.

Iwapo una Ukimwi na upate dalili zozote za magonjwa yaliyotajwa hapa chini, ni lazima upate matibabu mara moja. Vituo vya afya vya kiserikali hutoa huduma za afya kwa maambukizi tegemezi yanayo sababishwa na Ukimwi. Pia wao huwapa bure dawa za kupunguza makali dalili za haya maambukizi (OIs) huwa haimaanishi kuwa una Ukimwi lakini ni muhimu ufanyiwe uchunguzi ili upate matibabu yanayofaa haraka iwezekanavyo.
 
Dalili za kawaida za haya maambukizi 
  • Vipele – hasa vya kiunoni
  • Ugonjwa wa kifua kikuu
  • Kuvimba ulimi na ufizi
  • Ugonjwa wa mapafu unaomfanya mgonjwa ashindwe kupumua vizuri wa aina ya PCP – Penumocystis Causini Pneumonia

 

2
Average: 2 (30 votes)
Your rating: None

Nice to be visiting your blog again, it has been months for me. Well this article that i've been waited for so long. I need this article to complete my assignment in the college, and it has same topic with your article. Thanks, great share.
ice cream scoops

»