Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Vitenda kazi na Mada

Ukulima wa Mimea

Jifunze yote kuhusu ukulima wa mimea, upanzi, kulinda mimea dhidi ya maradhi, na uhifadhi wa chakula.

Kunde | Maharagwe | Soya | Viazi Vitamu | MahindiMihogo |

Ufugaji

Sehemu ya ufugaji wa mifugo itakufunza jinsi ya kufuga ng’ombe, mbuzi, kuku, sungura na nyuki. Ndani, unaweza kujifunza kuhusu uzalishaji wa wanyama, kulisha mifugo, kuzuia magonjwa na uwekaji wa rekodi za ukulima.

Rekodi za Ufugaji | Mbuzi Wa Maziwa | Chakula cha Mifugo | Sungura|Ng'ombe

Kutunza na kuhifadhi maji na udongo

Katika sehemu hii, tunaangalia njia za kutunza na kuhifadhi udongo na maji ili kulinda mazingira na kuimarisha uzalishaji wa mimea.

Mbubujiko wa mvua | Mmonyonyoko wa kijito | Mmonyonyoko wa udongo

Ufadhili wa Kilimo, Huduma za Mikopo na Mashirika ya Kuungana

Ukulima una gharama nyingi na tofauti. Katika sehemu hii, pata ushauri kuhusu mipango ya kuwafadhili wakulima kifedha.

AFC: Shirika la ufadhili wa kilimo | Bima ya ukulimaMashirika ya wakulima | Mikopo ya benki za kibiashara kwa wakulima

 

View More