Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuwekeza

Kuweka akiba ni jambo la muda mfupi. Kuwekeza huchukua muda mrefu.

Kuwekeza ni mbinu ya muda mrefu ya kutengeneza pesa. Ni moja wa njia nzuri za kulipia vitu siku za usoni. Kwa nini ni muhimu kuwekeza. Ni kwa sababu huu unaweza kuwa mpango kabambe wa fedha ambao unaweza kukusaidia kulipia vitu vikubwa na vya bei kali kama vile nyumba au malengo yanayogharimu pesa nyingi kama elimu.

Katika sehemu hii utajifundisha:

  • Tofauti kati ya kuweka akiba na kuwezeka
  • Ni uwekezaji upi unao kufaa
  • Hatari na faida za uwekezaji.
  • Jinsi ya kuunda potifolio yako
5
Average: 5 (1 vote)
Your rating: None

It was wondering if I could use this write-up on my other website, I will link it back to your website though.Great Thanks.
cheap usb flash drives

»