Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Msingi wa Kuweka Akiba

Kuweka akiba ni njia bora ya kupangia kununua kitu. Ni njia pia ya kujiandaa japo ukapatwa na jambo la dharura au ungetaka kunua kitu ghali bila kukopa.

Kuweka Akiba

  • Huchukua muda mfupi: Unapoanzia kuweka akiba hadi utakapotumia inachukua kati ya miezi 6 hadi miaka miwili.
  • Inakuzuia kutumia pesa ovyo: Usifikiri ukiweka akiba hutawahi kutumia hiyo pesa. Kuweka akiba ni kuweka pesa kando SASA hivi ili uitumie BAADAYE.
  • Inakupa utulivu: Kuwa na Akaunti ya akiba ni salama kuliko kuweka pesa zako chini ya kitanda. Benki na SACCO zina bima ya kulinda pesa, hakikisho kwamba pesa zako ziko salama.

Je kwa nini kuweka akiba ni muhimu?

Kuweka akiba ni muhimu kwa sababu kuwa na pesa ya ziada hukupa utulivu na kukuwezesha kununua vitu bila kukopa.

1.5
Average: 1.5 (2 votes)
Your rating: None

It is imperative that we read blog post very carefully. I am already done it and find that this post is really amazing.
cheap usb flash drives

»