Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kumiliki Nyumba Yako

Watu wengi wanatamani kumiliki nyumba yao binafsi. Kile hawaelewi ni kwamba kuwa na nyumba yako binafsi kuna faida nyingine isipo kuwa na mahali pazuri pa kuishi. Baada ya miaka kadha unaweza kuuza nyumba hiyo pesa nyingi kuliko uliyotumia kuinunua. 

Huku kuongezeka kwa thamani kunaitwa equity. Neno hili linamaanisha thamani ya rasilmali (nyumba) baada ya kutoa gharama ya pesa ulizotumia kuinunua na matumizi mengine kuihusu. Equity ni muhimu kwa vile unaweza kuitumia kukopa pesa za matumizi mengine kama kulipia elimu, kunua gari, kuboresha nyumba na mengine..
Unaweza kutumia equity kulipia mambo muhimu. Baadhi yake ni;
  • Matumizi yasiyotarajiwa au ya dharura kama ugonjwa au ukifuta kazi
  • Pata pesa za kuanzisha biashara
  • Saidia kulipia elimu

Kunua nyumba ni sawa kwangu? Jua zaidi.

Pendekezo la mhariri
Hii ndio mara yako ya kwanza ya kununua nyumba? Pata usaidizi wa kulipa gharama.

 

0
No votes yet
Your rating: None