Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Simanzi

Sikitiko ni kujumulisha pamoja uchungu wa akili, hisia nzito na hali ya kuchanganyikiwa inayotokana na mtu kumpoteza jamaa muhimu sana kwake. Unaomboleza na kusikitikia hali ya kumpoteza huyo jamaa hadi unajisikitikia. Kumpoteza mpendwa ama jamaa ni mojawapo ya hali ngumu sana maishani kukabiliana nayo. Kakuna atakayokuambia namna ya kusikitika. Ni hali ya kibinafsi sana anayopitia mtu.

 
Ni baadhi ya dalili hizi
  • Kushtuka na kushindwa kuongea.
  • Ugumu wa mkazo kwenye kufua na kooni
  • Kupata shida unapopumua
  • Kukosa nguvu
  • Kushindwa kula ama kulala
 
Namna ya kutibu
Nenda ukamuone daktari. Anaweza kukutanisha ba vikundi vya kukuhimiza ba kukutia nguvu. Atakupa mwongozo na wosia na matibabu. Hapa pana hoja ya kukumbuka iwapo unaomboliza;
  • Ni vyema kulia, kupiga nduru, kukaa peke yako kwa muda, ama kupandwa na hasira. Ukiwa katika hali hii kwa zaidi ya mwezi mmoja, kuna uwezekano, kuwa umeshtuka na kuwa mdhoofu.
  • Mambo huja yakawa mazuri baadaye mwanzoni huenda yasionekana kuwa kweli. Kuendelea na maisha hakumanishi eti umsahau kabisa mpendwa wako inamaanisha tu kuwa unapona. Usijihukumu unaoanza tena kujenga maisha yao.
  • Jitunze. Hakikisha kuwa unakula na kupumzika vya kutosha. Gharamila upishi, malipo ya maji na stima kusafisha na kufua. Hukuchukua muda kwa mtu kuzoea kujifanyia mambo.
  • Zungumza kuhusu hasara iliuokupata marafiki na familia wanaweza kukusaidia usiogope kuongea na mtu wa mbali kidogo kuhusu namna unavyohisi.
  • Usitumie vileo na dawa kusikia vyema. Iwapo tayari unatunia ni muhimu utafute msaada wa kitaalamu. Haikosi huenda unaugua kutokana na majonzi na huzuni.

0
No votes yet
Your rating: None