Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kubajeti

Check

Ikiwa unajaribu kutoka kwa deni au kuhifadhi pesa za kujenga nyumba au kunua kitu kingine cha maana, kuweka bajeti au kuhesabia pesa kwa gharama ndio njia moja mwafaka ya kuanzia.

Pongezi kwa kuchukua hatua ya kwanza.

Hivi ni vipengele muhimu kwa bajeti inayofaa.

  1. Weka mikakati halisi unayoweza fuatilia: Usiweke Ksh. 100 za burudani iwapo utatumia pesa zaidi. Kuwa mwaminifu.
  2. Jifunze njia mpya za kukimu pesa zako: Kuna njia nyingi za kuhifadhi pesa. Pata akiba nzuri na ufanye pesa zako zizae. Hivi ni vidokezo vya kukujulisha utakavyoanza.
  3. Tunza bajeti yako: Kuunda bajeti ni mwanzo tu. Njia ya pekee kuifanikisha ni kukumbuka kuwasilisha mabadiliko ya matumizi yako na kuhakikisha umeifuatilia.
2
Average: 2 (4 votes)
Your rating: None