Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Virutubishi vinayotumiwa na mwili na vinavyohifadhiwa kama mafuta.

Mwili wako ni tarakilishi vizuri sana ulimwenguni. Unajua kujifanyia hesabu kuhusu chakula cha kutumiwa na cha kuhifadhiwa mwilini kama mafuta. Huwezi kuupatia chakula kisichofaa bila mwili wenyewe kutambua jambo lolote mbaya unalolifanay, liwe matokeo yake mazuri au mabaya. Iwapo utakumbuka kuwa
 
Mwili wako huchoma au huhifadhi kalori ya vyakula unavyokula. Unaweza ukakabiliwa na kuongeza au kupunguza uzito wako.
 
Je, kalori ni nini? Ni kilio cha joto au kipimo cha joto litolewalo na chakula
Kwa kila kalori unayokula, lazima uwe na mbinu utakayotumia kuiondoa. Ukila kalori nyingi, huenda ukasababisha ongezeko la mafuta kwenye mapaja, makalio na sehemu nyinginezo za mwili. Ukila kadri mwili wako unavyoweza kuicho, basi utabaki na kiwango cha uzito ulio nao. Lakini ukichoma kalori nyingi unayokula kila siku kupitia mazoezi ya kila siku na lishe bora utakuw katika harakati ya kupunguza uzito wako.
Kuhifadhi uzito ulio nao, hutegema kalori ya vyakula na nguvu unazotumia katika mazoezi ya kila siku.
 
Je, utajuaje ni kiwango kipi cha kalori unahitaji ili kuhifadhi uzito wako? Tumia mbinu hii: Je, unahitaji kalori ngapi?
Mbinu au mtindo wa zamani
 
Pia waweza kupima ili kujua kiwango cha kalori unayohitaji kila siku kwa kutumia fomula zifuatazo zinazojumuisha shughuli zako za kila siku.
 
Kwa watu wanaokaa tu bila kufanya mazoezi: uzito wako x 14 = kipimo cha kalori unayohitaji kila siku
 
Kwa watu wanaofanya mazoezi kiasi kidogo: Uzito wako x 17 – kalori unayohitaji kila siku
 
Kwa watu wanaofanya mazoezi sana: Uzito x 20 = Kipimo cha kalori unayohitaji kila siku
 
Kufanya mazoezi kwa kiwango cha wastani yamaanisha kuwa kupata mazoezii ya viungo vya kuongeza hewa angalau mara tatu au nne kwa Juma. Kufanya mazoezi sana yamaanisha mazoezi ya viungo angalau mara tano au saba kwa Juma. Kutofanya mazoezi yamanisha kuwa, unatumia muda wako mwingi kukaa tu badala ya kufanya mazoezi au kujishughulisha.
 
Umejifunza namna ya kukabiliana na kalori unayokula, utafanya nini ili kuchoma kalori leo? Anza kukabiliana na tatizo hili.

 


3
Average: 3 (1 vote)
Your rating: None

Absolutely fantastic posting! Lots of useful information and inspiration, both of which we all need!Relay appreciate your work.
thermogenic

»