Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Mazoezi ya viungo ya kuongeza hewa

Zoezi ya viungo

 

Fanya mazoezi ili kuishi maisha marefu na nzuri. Pamoja na kula mlo kamili na lishe bora, unahitaji kufanya mazoezi ili kuwa na afya bora. Moyo wako kato ya misuli na wahitaji kufanya mazoezi ili iwe na nguvu kama misuli katika sehemu nyinginezo za mwili wako.
Mazoezi yatakayosaidia moyo wako ni yale mazoezi ya viungo vya kuongeza hewa. Mazoezi haya yanaweza kusaidia katika:
  • Kuweka moyo wako katika umbo lake
  • Kupunguza uzito
  • Kupunguza mfadhaiko unaotokana na tatizo fulani
  • Kuzuia magonjwa
  • Kukuzuia kupata magonjwa
  • Kuishi maisha marefu
 

Hauhitaji ukumbi wa michezo ya mazoezi ya viungo ya gharama ya juu ili kujiandikisha kupata mazoezi unayohitaji. Mazoezi ya kutembea ni bure na rahisi kuzingatia katika ratiba yako. Tembea kwa kasi nzuri kwa muda wa nusu saa kila siku. Tembea madukani kama yapo karibu au ushuke kutoka kwenye basi au teksi kabla haijafika mahali unapopaswa kushuka, kisha utembee mwende uliosalia hadi nyumbani kwako. Kucheza mchezo wowote ule au dansi ni mbinu itakayosaidia moyo wako kiafya pia njia ya kujiburudisha na kuwa na wakati mwema. Tafuta kitu utakachofanya na usifanye mara tatu au tano kwa wiki kwa muda wa nusu saa.

 

 

2.466665
Average: 2.5 (15 votes)
Your rating: None