Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Mafunzo ya kuzidisha nguvu

Weight training

 

Kuinua vitu vyenye uzito fulani, haimanishi kuwa utapata misuli mikubwa (lakini pia ukitaka waweza kupata). Kwa kuinua vitu vyenye uzito wa kiasi cha siku, waweza kujenga misuli. Kuinua uzito wa kitu fulani kila siku yaweza kuchosha misuli yako. Lakini ukijipumzisha angalau siku moja kwa juma utatuliza misuli yako.
kutokana na hali hii, utakuw ana mkao mzuri, mifupa yenye nguvu, na maungo yenye nguvu; na siha nzuri. Si lazima ununue vitu au vifaa vyenye uzito, waweza ukatumia kopo au debe ya chakula na pia chupa ya maji. Vitu hivi huwa na uzito wa karibu nusu kilo (½)

 

 

2.22222
Average: 2.2 (9 votes)
Your rating: None