Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ni jambo la dharura?

Mtu akionekana ni mgonjwa sana tafuta usaidizi wa daktari upesi.

Dalili za magonjwa hatari ni pamoja na:

  • Kuwa na shida kupumua
  • Kububujikwa na damu kwa zaidi ya dakika 10 bila kwisha
  • Kuwa na maumivu makali kwa ghafla tu.
  • Mtu akiwa amechanganyikiwa, usingizi mwingi,au tabia za kiajabu.
  • Kukohoa na kutema damu
  • Kutapika sana.

 

2
Average: 2 (1 vote)
Your rating: None