Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mfadhaiko, namna ya kukabiliana na hasira na akili sumbufu

Wengi wetu hukumbana na shida za kikazi na kinyumbani, hii huleta mfadhaiko wa akili ambalo ni jambo la kiafya.

Jifahamishe jinsi ya kugundua ikiwa una shida na jinsi ya kutibu, kulipia gharama za matibabu ni ghali mno lakini Beehive ipo hapa kukusaidia.

Kuna mfadhaiko mzuri na mbaya.Mfadhaiko huleta shida za kiafya na kuharibu uhusiano na jamiina marafiki. Kuna njia za kukabiliana na mfadhaiko huu. Makinika kuhusu mfadhaiko

Dhuluma
Kuna dhuluma tofauti, dhuluma za kihisia,za kinyumbani,za kimapenzi n.k.

Usione haya kuzungumzia, hauko peke yako, usaidizi wa haraka ndio utakaokusaidia. Jifunze mengi
 
Mfadhaiko
Huu ni ugonjwa unaohusisha mwili na akili. Huathiri namna unvyokula na kulala, unavyojifikiria na namna unavyoweza kuhusu vitu. Soma zaidi upate kujua.