Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Vipimo vya mimba

Vipimo hivi huchunguza kuwepo kwa Human Cherionic Cronadotropin (HCG) kwa mkoja au damu. HCG wakati mwingine hitwa ‘Pregnancy Hormone’ na huwa kwa mwanamke tu wakati ana mimba. Kuna aina mbili ya vipimo: kipimo cha mkojo na kipimo cha damu.
 
Kipimo cha Mimba cha Mkojo
Wanawake wengi hutumia kipimo hiki ambacho pia huitwa cha nyumbani (HPT-home pregnancy test) kwa sababu ni rahisi kutumia na bahasa (rahisi kibei) kuna aina nyingi za vipimo hivi. Kwa kimoja, utakwanya mkojo wajo kwa kikombe na kukitumbukiza ‘kijiti’ huko na kwakingine utaweka ‘kijiti’ hicho kwenye viungo vya mkojo. Njia iliyobora ni itakayokuonyesha kiwango cha HCG, hivyo tafuta moja katika kiwango cha hCG kutoka 15 hadi 30. Utasaidiwa na mhudumu wako dukani la dawa au kliniki.
 
Vifaa hivi hufaa kwa asilimia 97-99 kuyakirisha uwepo wa mimba vinapotumiwa ipasavyo. Hivyo kufuata maagizo ni muhimu. Pia angatia wakati wa kuharibika wa kifaa kwani kifaa kilichoharibika hakitakupatia matokeo unayotarajia.
 
Kama utapata matokeo yasiyofaa/yasiyo hakika
Kama utajipima/utapimwa bado kidogo*, unaweza kuona kwamba hauna mimba ili hali unayo. Aina nyingi ya vipimo vya nyumbani hukushauri ujipime baada ya siku kadha bila kujali matokeo uliyopata awali. Kama unaendelea kupata matokeo yasiyofaa nab ado unashuku una mimba, ongea na daktari/mkaguzi afya waka.
 
Kama utapata matokeo yafaayo/yahakika
Kama utapata matokeo ya hakika, fanya miadi na mkaguzi afya wako punde tu.   Mkaguzi wa afya yako atayakinisha kama una mimba kupitia kipimo cha damu na ukaguzi mwingine (pelvic exam) na atakwambia chaguzi uliza nazo.
 
Kipimo cha Damu
Kama wataka kipimo cha damu badala ya kite cha nuymbani, fanya miadi na mkaguzi afya wako/dakatari wako.

2.106385
Average: 2.1 (47 votes)
Your rating: None

Superbly written article, if only all bloggers offered the same content as you, the internet would be a far better place..
usb 3 flash drive

»

Enter the PIXMA iX7000 Inkjet Business Printer that delivers the quality, performance and printing solutions you need for business with ease  if you need the driver printer, you can check at iP6210D extraordinary printer making  The Lexmark Interpret S405 is a capable multifunction printer with respectable output speed and quality,  if you need the driver printer, you can check at s409 lexmark the three The new ipad smaller than normal 2 (or ipad small scale with Retina show, if you need the gadgets info, you can check at Lumia 353 phone moderate Six roadsters you can have on your driveway for pocket-money prices if you need the last info about car automotive, you can check at Alpina B4 Biturbo anticipate Kalau dollar naik penghasilan kita juga naik, jadi walaupun harga di pasar naik tidak akan terasa. Trus kalau dollarnya turun; if you need the last info update about technology, you can check at cara mendaftar domain gratis  Canon PIXMA MX357 could also be a multifunction printer that you’ll use not entirely meant for printing but may be used to scan and replicate your documents if you need more info about geophysics, you can check at canon mx366 pixma scan excellent photograph papers for uncommon lab-quality prints

»