Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Nini maana ya Uangalizi unapokuwa mja mzito

Hii ni kutunza afya yako wakati wa mimba ili kuongezea tokeo la kupata mtoto aliye na afya. Haya ni baadhi ya mambo yotakayokuwezesha kuwa na mimba iliyo na afya na kujifungua vyema.
  • Anza kujitunza mapema na kwa kawaida. Hii inaweza husisha uchunguzi na vipimo kuhakikisha kijusi/mimba ina afya na vipimo kuhakikisha mwili wako unafanya kazi ipasavyo.
  • Hakikisha unakula chakula kilicho na protein, matunda, mboga, nafaka na madini ya ‘calcium’ kijusi/mimba hupata chakula chote kutoka kwako, hivyo chagua chakula kitakachokupa afya. Jaribu kula mara tatu kwa siku na mara sita vipimo vidogo vidogo kama una matatizo ya uchefuchefu au kuhara.
  • Daktari wako anaweza kukushauri unywe vitamini zilizo na chuma (iron) na ‘folic acid’ ili kusaidia kukuzuia kupatwa na upungufu wa damu. Vitamini hizi pia hulinda kijusi kutokana na magonjwa ya ubongo na uti wa mgongo.
  • Jaribu kufanya kazi itakayokuhitajia nguvu zako kwa dakika 30 siku kadhaa kwa wiki. Mazoezi husaidia kupatia misuli yako nguvu itakayotumika wakati wa kujifungua na kuhufanya uwe na raha/rafaja wakati wa mimba. Kuogelea, kutembea na mazoezi mengine hukufaa sana wakati wa mimba. Hakikisha umeongea na daktari wako kabla hujaanza zoezi lolote.
  • Kunywa aghalabu bilauri 6-8 za maji kila siku; na bilauri nyingine kwa kila saa litumiwalo katika mazoezi. Hili hukuzuia kuishiwa na maji mwilini, ambalo unaweza kusababisha mkazo hivyo kujifungua kabla ya muda wake kuwadia.
  • Pata/ongeza uzito ufoao. Kwa wanawake wengi, hii uwa kilo 11-16. Daktari wako atakusaidia.
  • Pata pumziko. Wakati wa mimba unaweza kupata mabadiliko ya ‘hormon’, ambayo yanaweza kusababisha mabadiliko ya tabia yake (furaha na hasira) jichunge kimwili na kiakili.
  • Ambia daktari wako kama ‘unatumiwa’ vibaya (abuse). Hili linapoendelea wakati wa mimba hukuweka wewe na kijusi hatarini ya kuharibika kwa mimba au kujifungua mtoto aliye na uzito mdogo isivyotarajiwa.
  • Ongea na daktari wako kuhusu kazi uifanyayo na usalama wa kazi hiyo. Wanawake wengi walio na mimba iliyo na afya wanaweza kuendelea na kazi yao ya kawaida hata wiki za mwisho za mimba.


2.153845
Average: 2.2 (13 votes)
Your rating: None