Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Dalili za kukutahadharisha

Kama utaona baadhi ya yafuatayo, mwone daktari haraka iwezekanavyo:

  • Damu au maji maji zikitoka ukeni
  • Unarudiwarudiwa na uchefuchefu na kutapika
  • Kufura kwa uso au vidole
  • Kuumwa na kichwa kusikoma
  • Kizunguzungu au kuona kusikodhahiri
  • Uchungu au kiharusi kwenye sehemu ya chini ya tumbo
  • Homa na kibaridi
  • Kubadilika kwa mwendo (mazunguko) ya mwanae tumboni.
  • Mkojo kidogo zaidi au kuwashwa wakati unapokojoa
Kumbuka, inakufaa ufanye kila kitu uwezacho kujiweka na mtoto wako na rai.
 

 

 

2.5
Average: 2.5 (4 votes)
Your rating: None