Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Unayafaa kujiepusha nayo

 

Usijiweke hatarini wakati wa mimba. Tumia wakati huu kufanya mabadiliko fulani maishani yako:
  • Acha kuvuta sigara* - uvutaji wa sigara wakati wa mimba huongezea hatari ya kuharibu mimba, kujifungua kabla ya wakati ufaao, kuzaa mtoto aliye na uzito mdogo isivyotarajiwa, SIDS na matatizo mengine.
  • Usinywe pombe – unywaji pombe wakati wa mimba huweza kusababisha kasoro ambazo haziwezi kuzuilika kama kupungukiwa na akili.
  • Usitumie dawa za kulevya – Bangi, Cocaine, Heroin, Speed, PCP na dawa zingine za kulevya zaweza kusababisha kuharibika kwa mimba, kuzaa kabla ya wakati ufaao na kasoro zingine. Mtoto anaweza pia kupata matatizo ya kusoma (kuelewa) na anaweza kuzaliwa akiwa mzoevu* kwa dawa hizi ongea na daktari wako kama wataka kuacha kutumia dawa hizi.
  • Punguza au acha kutumia kafeini  ipatikanayo katika kahawa, chai, vinywaji ‘chocolate’ na dawa ziuzwazo dukani.
  • Usikule samaki, kuku au nyama nyingine ya mnyama kama haijaiva vizuri.
  • Jiepushe na kemikeli zenye sumu kama kuua za wadudu, rangi, vyuma kama lead na mercury.(Bidhaa nyingi za nyumbani zilo na tahadhari kwa walio na mimba) Bidhaa hizi kama hauna uhakika.
  • Jiepushe na ‘bafu ya pipa’ (tub) na ‘Saunas’ za maji moto. Hizi huongezea hatari ya kuharibika kwa mimba na kasoro zingine za uzazi.
  • Usioshe au kushika kisanduku cha paka wako. Hili linaweza kuambukiza maradhi yanayoweza kusababisha kasoro za uzazi. Pia valia vifuko vya mikono (gloves) unapofanya kazi shambani au mahali paka wako huwa.

 

1
Average: 1 (4 votes)
Your rating: None

It was wondering if I could use this write-up on my other website, I will link it back to your website though.Great Thanks.
cheap usb flash drives

»

Enter the PIXMA iX7000 Inkjet Business Printer that delivers the quality, performance and printing solutions you need for business with ease  if you need the driver printer, you can check at CAnon Pixma ip4000 driver download  The Lexmark Interpret S405 is a capable multifunction printer with respectable output speed and quality,  if you need the driver printer, you can check at Lexmark prevail pro702 driver download The new ipad smaller than normal 2 (or ipad small scale with Retina show, if you need the gadgets info, you can check at LG Revere 3 review specifications Six roadsters you can have on your driveway for pocket-money prices if you need the last info about car automotive, you can check at All new kia carnival 2015 review Kalau dollar naik penghasilan kita juga naik, jadi walaupun harga di pasar naik tidak akan terasa. Trus kalau dollarnya turun; if you need the last info update about technology, you can check at cara mudah belanja di mana aja  Canon PIXMA MX357 could also be a multifunction printer that you’ll use not entirely meant for printing but may be used to scan and replicate your documents if you need more info about geophysics, you can check at canon all driver download free excellent photograph papers for uncommon lab-quality prints

»