Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kumuona Daktari

Daktari wako atapanga miadi kwa muda wa miezi tisa ili kuhakikisha wewe na mwanao mna rai. Mimba hukaa kwa muda wa wiki 40 (kutoka wakati wa hedhi ya mwisho) na hugawanywa kwa awamu tatu. Awamu ya kwanza huwa ya wiki 12, ya pili wiki 15 na ya tatu wiki 13.
 
Miadi hii ili kuhakikisha mimba iliyo na afya huwa:
  • Siku moja kwa miezi katika miezi ya kwanza sita.
  • Siku moja kila wiki mbili kutoka mwezi wa saba hadi wa nane (7-8)
  • Mara moja kwa wiki hadi wakati wa kujifungua.
 
Kufuata miadi hii huwa muhimu sana, hata kama wajihisi mzima, Hivyo, daktari wako anaweza kuchukua hatua kama wewe na mwanao mna matatizo.
 
Katika miadi ya kwanza na daktari wako, daktari atakuuliza kuhusu afya yako na historia ya familia yako na atakupima damu na mkojo pia. Kama una ugonjwa wowote kama, kupandwa na damu, shida za moyo na mishipa ama ugonjwa mwingine wowote, usisahau kumwambia daktati wako kama ni za kununua dukani). Haya ni mambo unayofaa kujulisha daktari wako kwani yanaweza kuadhiri mtoto wako, hivyo jaribu kumweleza wasiwasi.
 
Daktari wako atakufanyia uchunguzi kama wa urefu, uzito na viungo vilivyo karibu na nyonga. Baada ya miadi hii, unafaa kuwa na wazo la lini utajifungua.
 
Miada mingine huchukua muda mfupi lakini daktari atachunguza mwendo wa damu yako, mkojo na uzito. Uchunguzi mwingine ni kama wa kasoro za kuridhi au kasoro zinginezo. Ili kujua jinsi mwanao anakua, unaweza kufanyiwa uchunguzi awa ultrasound: Kumbuka kumwambia daktaari mabadiliki ambayo umapata/umeona kutoka wakati wa miadi ya awali. Pigia daktari wako simu kama umepata matatizo yoyote katikati ya miadi.

 


3
Average: 3 (4 votes)
Your rating: None