Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuishi Kiafya

Tamko lishe bora huchukuliwa vingine na watu wengine. Ni muhimu ujali unachokula. Unakula chakula fulani ili uishi vizuri kiafya. Hivyo basi kula vyakula vinavyostahili kama mboga, matunda, nyama isiyonona, sehemu ya titi ya kuku, samaki na vyakula rahisi vya kuongezea nguvu kama vile mkate wa wishwa.
 
Katika sehemu hii tutakusaidia kupanga mikakati kuhusu namna ya kula vyakula vya kukutia afya vilivyo vitamu na vyenye virutubishi vyote muhimu maishani mwako. Hiyo basi kula vizuri, poteza unono mwingi na ujisikie vizuri!