Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kupunguza uzito

 

Kwa na uzito wa kawaida, unapunguza uwezo wa kupata magonjwa mengi ikiwemo; shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, kiharusi, baadhi ya magonjwa ya kansa, na aina ya kisukari.
 
  • Kupunguza uzito, wapaswa kula kiasi kidogo cha kalori. Mpango bora na nzuri ya kupunguza uzito ni kupoteza zaidi ya kilo 1 (moja) kila wiki. Kama lengo lako ni kupoteza zaidi ya kilo kumi (10) ama kama una matatizo ya kiafya, zungumza na daktari wako kabla hajabadilisha mlo wako, ukaaza kumeza dawa au kuanza mtindo mpya wa mazoezi.
  • Kula mlo unaopenda. Unaweza kuwa umepoteza uzito, lakini kuitunza ni ngumu sana mara tu unapoacha kula mlo fulani. Badala yake zingatia mtindo wa maisha unavyobadilika
  • Kuwa na uzito uliopita kiasi huathiri mwili wako, akili na roho. Ukiwa na uzito uliopita kiasi au u mnene sana ni hatari, kwa kuwa unaweza ukaathiriwa na magonjwa kama vile ugonjwa wa kisukarii, ugonjwa wa baridi ya bisi na kansa.
 
Suluhisho ni nini?
Badilisha mtindo wako wa kuishi polepole na iwe ni ya kudumu. Zungumza na daktari wako kuhusu kula matunda, mboga na vyakula vyenye mafuta kidogo.

 

 

2.5
Average: 2.5 (6 votes)
Your rating: None

Cool stuff you have got and you keep update all of us.
heated ice cream scoop

»