Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Usalama wa mtoto

Haya ni bidhaa ya mambo utakayofuata na mtoto wako atakuwa na afya
  • Unafaa kumwekelea mwanao kwa viti cha gari unapompeleka nyumbani unapomtoa hospitalini na wakati wowote uko naye garini. Viti vya gari hupunguza hatari ya kujeruhiwa wakati wa ajali. Kwa zaidi ya asilimia 80. Mwone daktari wako, hospitali au klinki ni kuhakikisha kiti hichocha mtoto kimeidhinishwa
  • Jinsi mwanako anavyokua, mnunulie kiti cha gari cha kitakacho mtoshea. Kuna aina nyingi zinazoweza kukaa kwa miaka kadhaa. Ni hatari kuendesha gari kam mwanako hujamfunga mshipi wa usalama. Usitumie mshipi wa usalama unaofungamana sihemu tatu (3-point seat belt) kwa watoto kwa kufunga kipande cha chini mapajani.
  • Usimlaze mwanao kwa malalo au godoro. Tahadhari sana kama unalala na mtoto wako kwa kitanda kimoja. Msongo wa pumzi husababisha vifo vingi vya nyumbani vya watoto wa hadi miaka 4
  • Weka kifaa cha kudumisha kadiri ya joto (Thermostat) kwa joto la 490c. Maji ya kumwosha mwanao yanafaa kuwa na joto la 38oc. Hakikisha maji ya kumwosha mtoto viguvigu kwa kutumia kiwiko au kiko cha mkono. Usimwache mwanao kwa kizingia cha maji, Jacuzzi au pipa la kuogea lenye maji moto. Miili yao huadhilika upesi sana na joto.
  • Usimwache mwanao kama haangaliwi kwa pipa la kuogeza.

0
No votes yet
Your rating: None

You have done a great job on this article. It’s very readable and highly intelligent. You have even managed to make it understandable and easy to read. You have some real writing talent. Thank you.
halogen light bulbs

»