Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Shida za Kawaida

Baada ya kuwasili na mwanao kutoka hospitalini, kuna baadhi ya mambo unayohitajika kufahamu.Zifuatazo ni shida za kawaida ambazo watoto wachanga hukumbana nazo:

  • Homa ya nyongo ya manjano: Rangi ya manjano kwenye ngozi na macho ya mtoto.Polepole finya pua la motto, kipaji au paja uone ikiwa ngozi yake ni manjano.Hali hujitokeza kati ya miezi 3 hadi 5.
  • Susu: Rangi nyeupe hivi yenye malapalapa kwenye kichwa cha mtoo.Kumuogesha kila siku na kukwaruza taratibu kichwa chake au kutumia sabuni ya shampoo na mafuta ya nywele kutamaliza hali hii.
  • Chunusi, ni vipele vyekundu usoni huja kati ya wiki 3 au 4, hormone ndizo husisimua mafuta mwilini mwako na kuleta hali hii. Muoshe mtoto na sabuni ya watoto mara moja kwa siku.Usizioshe nguo za mtoto kwa sabuni kali.
  • Maambukizi ya mdomoni yenye rangi nyeupe nyeupe daktari atakushauri dawa unayoweza kutumia
  • Mvumo wa moyo: Ni sauti inayovuma kati ya midundo ya moyo
  • Mchirizi wa machozi iliyofungana.Mtoto anapozaliwa na michirizi iliyofungana kutokana na golegole yenye gamu hivi kwenye macho.Baada ya wiki 2, michirizi hii hufunguka.
  • Kitovu: Maambukizi katika kitovu na kuleta unyevunyevu na rangi ya manjano hata kutokwa na damu kidogo.Daktari anaweza kutibu kwa kutumia silver Nitrate kupakausha.
  • Kitovu Ngiri: Hili ni shimo dogo katika sehemu ya chini ya tumbo ambayo presha inazidi hujitokeza nje na kuleta maumivu. Baada ya miezi 12 hadi 18 kitovu ngiri hupotea. 
Wasiliana na daktari wa mtoto wako pindi unapoona dalili hizi.Usijaribu kutibu hali yoyote mwenyewe.
0
No votes yet
Your rating: None