Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuzuia kifo cha ghafula (SIDS)

Je, kifo cha ghafula ni nini?
Sudden Infant Death Syndrome (SIDS) ni neno la kuelezea kifo cha watoto chini ya mwaka 1. Kwa vile vifo vingi hutokea mtoto akiwa kitandani mwake wakati mwingine SIDS huitwa ‘cot death’. SIDS ndio inaongoza kwenye vifo vya watoto kati ya mwezi 1 na mwaka 1. Vifo hivi vingi hutokea kati ya miezi 2 na 4.
 
Kinachosababisha SIDS
Madaktari bado hawajatambua kisababishacho SIDS. Utafiti kwa watoto hawa huonyesha kuwa watoto wengine huzaliwa na kasoro ya sehemu Fulani ya akili inayoshughulikia kkupumua wakati mtoto amelala na uwezo wa kuamka. Pia watoto wengi ambao hufa kwa sababu ya SIDS huwa na matatizo/kasoro za kupumua au tumbo. Hiyo inaweza kuwa ndiyo sababu vifo vingi vya SIDS hutokea wakati wa baridi.
 
Nitafanya nini ndio niweke mwanangu kwa usalama?
  • Kujitunza wakati wa mimba kunaweza kuzuia mwanao kupata kasoro itakayomweka hatarini ya kifo. Kula chakula kilicho na afya, usivute sigara, usinywe madawa ya kulevy au pombe na unapaswa kupata uchuguzi mtimilifu hospitalini. Hii pia inaweza kupunguza hatari ya kuzaa kabla ya wakati ufaao au kuzaa mtoto asiye fikisha uzito utakikanao (ambazo huongezea hatari ya SIDS).
  • Mwekelee mwanao kwa godoro dhibiti au mahali popote pale dhabiti
  • Toa vitu vyote vyororo, vya safi, blanketi na mwanasesere kwa kitacha cha mtoto
  • Mnyonyesha mwanao wakati wowote uwezao. Maziwa ya mama humzuia mwanao kutokana na ambukizo yanayoweza kusababisha kifo cha ghafla
  • Mweke mwanao nguo za kulala badala ya kutumia blanketi kama utatumia blanketi hakikisha haijapita kifua
  • Usivute sigara au usimwache mtu yeyote havuti sigara karibu na wako
  • Mpeleke mwanao kwa ukaguzi na chanjo za mara kwa mara
 
Je, kuna kundi ambalo limo hatarini ya SIDS zaidi?
Waadhiriwa wengi huwa wavulana

0
No votes yet
Your rating: None