Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

PMS- Shida Wakati wa Hedhi

Wanawake wengi huwa na mabadiliko ya kimwili na hisia kabla, baada na wakati wa hedhi. Haijulikani vizuri ni nini kinachosababisha PMS. Dalili huja wiki moja au mbili kabla ya hedhi. Watu wengi hutoa mzaha kuhusu PMS na hawaichukulii kwa uzito. Ukweli ni kuwa hali hii huweko. Waweza kuwa hamu kubwa ya chakula fulani, kuumwa na matiti, kuvimba mwili na mabadiliko katika hisia.

Ishara zake ni zipi?
 • Kubadilika kwa hisia
 • Kukasirika upesi
 • Kulia bila sababu
 • Kuwa na wasiwasi
 • Tamaa ya chakula
 • Maumivu tumboni au mgongoni
 • Kufura au kuumwa na matiti
 • Kuvimba mwili
Utatibu vipi PMS?
 
Kati ya wanawake 5 mmoja ana PMS. Mabadiliko ya hormone huleta dalili za PMS. Kuna mambo unaweza kufanya ilikukufanya uwe na raha.
 • Kula vyakula bora vya kujenga mwili
 • Pumzika, fanya mazoezi ya uvutaji pumzi ndani na nje
 • Meza dawa za kutuliza maumivu kama Panadol
 • Tumia chupa yenye moto kujikanda sehemu ya tumbo inayouma
 • Mueleze daktari wako maumivu yakizidi.
2
Average: 2 (3 votes)
Your rating: None

Every word in this piece of work is very clear and your passion for this topic shines. Please continue your work in this area and I hope to see more from you in the future.
heated ice cream scoop

»