Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kondomu ni nini, zinafaa na nitazipata wapi?

 

Kondomu ni nini?
Huu ni mpira mwembaba wa “latex”, plastiki au nyama (tissue) ya mnyama inayoafiki kwenye uume. Pia huitwa “rubber.” Kondomu huwa za ukubwa, rangi na maumbo tofauti au ziwe na “spermicide” (Kemikali inayo manii) ama ziwe hazina. Mwanamme huvalia kondomu kwenye uume kabla ya kushiriki ngono. Kondomu husitili manii yanapotolewa (baada ya ‘orgasm’) kabla hazijakutana na yai. Baada ya ngono mwanaume hutoa kondomu kwa utaratibu ili isimwage manii kwenye uke. Kondomu inafaa itupwe baada ya kutumiwa.
 
Usitumie kondomu mzee, iliokwisha maliza muda wake wa matumizi au kondomu iliyowekwa kwa mfuko au mahali palipo na joto.
 
Je, kondomu hufaa
Ndio. Kondomu hufaa kwa asilimia 98 kwa kuzuia mimba zinapotumiwa vinavyostahili na mfululizo wakati wa kushiriki ngono. Zinaweza faa kwa asilimia 99 kama zina spermicide. Kondomu za latex zinaweza kukuzuia wewe na mpenzio kutokana na maradhi ya zinaa kama ‘Chloamydia.’ Kisonono na Ukimwi. Kondomu sizizo za latex hazitaweza kuzuia ukimwi na maradhi ya zinaa vilivyo.
 
Nitazipata wapi kondomu?
Unaweza kununua kondomu kwenye maduka ya dawa, mikahawani pia na madukani ya kawaida. Mabaa na vilabu huwa na mashine za kuchuuza* kondomu. Kondomu za bure zinaweza kupatikana kwenye makliniki* na zahanati. Katika maktaba, mashirika na ofisi za kiserikali hutapata kondomu za bure pia. Usione haya kwenda dukani au zahanati kununua/kuchukua kondomu. Kuchukua/Kununua kondomu huonyesha kuwa wewe humwema/mwaminifu.

 


2
Average: 2 (2 votes)
Your rating: None

This is very interesting content! I have thoroughly enjoyed reading your points and have come to the conclusion that you are right about many of them. You are great.
heated ice cream scoop

»