Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Nafaa kutumia Kondomu?

Utumizi wa kondomu utakuzuia kwa njia moja kuzuia mimba, ukimwi na maradhi mengine ya zinaa lakini kuna mambo unayofaa kuzingatia ili kujua kama kondomu zinakufaa. Kama njia zingine zote za udhibiti uzazi unafaa kuongea na daktari wako au mshauri ili akwambie kuhusu chaguzi ulizo nazo.
 
Kondomu zinaweza kuwa uamuzi ufaao kama
  • Uko hatarini kuambukizwa/kuambukiza mtu maradhi ya zinaa.
  • Unataka kutumia njia unayoweza kuacha utakapo
  • Huwa haushiriki ngono mara nyingi na hauhitaji/hautaki udhibiti uzazi wa muda mrefu.
  • Unahitaji njia zaidizi kama ulisahau kunywa dawa zako za kudhibiti uzazi.
 
Kondomu hazikufai wewe na mpenzio kama mnapatwa na mzio Allergy mnapotumia kondomu za raba.

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None