Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Je, kama mpenzi wangu/mwenzangu hataki kutumia kondomu?

Usitake msongo au uoga wa kumpoteza mpenzi ukuweke kwenye hatari ya kushika mimba au kuambikizwa maradhi ya zinaa. Inaweza kuwa vigumu kuongea kuhusu utumizi wa kondomu na mtu ambaye hajali afya yako. Kwa hivyo haina maana kujihuzisha naye. Ongea na daktari au mshauri wako kuhusu ushauri na vile unaweza kujadiliana na mwenzio mambo haya. Kama mwenzako hatatumia kondomu, unaweza jaribu njia zingine kama kujinyima* au kutumia kondomu za kike* Waume wengine husana ukosefu wa “sensation” si mwingi ukitumia kondomu ya kike. Wanawake wengine husema utumizi wa kondomu ya kike huonyesha uaminifu* kwa upangaji wa uzazi na afya yao.

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None

I have been checking out a few of your stories and i can state pretty good stuff. I will definitely bookmark your blog
heated ice cream scoop

»