Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Njia ya kutumia kizuizi

Kondomu za Wanawake/kike
Huu ni mrija mtegevu wa plastiki huvaliwao kwenye uke. Pande iliyafungwa husaliwa ndani karibu na ‘Cervix’ na upande uliowazi huvaliwa tu nje ya uke. Hii njia ya kutumia kizuizi hiki huzuia manii kufikia yai. Hii kondomu yaweza kuvaliwa aghalabu masaa 24 kabla ya kufanya mapenzi na hufaa kwa asilimia 79-95 katika uzuizi wa mimba. Kondomu hizi hupatikana kwenye maduka ya dawa. Pia hospitali za mikoa na kliniki hupatiana kondomu hizi bure.
 
Diaphragm/Cervical Cap (Kiwambo-diaphragm)
Hii njia huzuia manii kulifikia yai. Kiwambo hiki huwa na umbo kama kikombe nayo ‘Cerival cap’ huwa na umbo kama kastabini (thimble). Hizi hufunikia ‘cervix’ (mwanzo wa tumbo la uzazi) ili manii yasiingie kwenye tumbo la uzazi (womb). Zinafaa kuvaliwa/kuwekwa ndani ya uke kabla ya kufanya mapenzi. Kiwambo hiki hufaa kwa asilimia 80-94 kwa kuzuia mimba. Nayo ‘cervical cap’ hufaa asilimia 80-91 kuzuia mimba kwa wanawake ambao hawajawahi pata mtoto, na hufaa asilimia 60-80 kwa wanawake ambao keshajifungua. Unafaa kumwona daktari au mtaalamu wa mambo yahusuyo uke ili akuweke kiwambo au ‘cap’.

 

 

0
No votes yet
Your rating: None