Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Njia za kitabia

Hii huwa mwanamume kuondoa uume wake kutoka ndani ya uke kabla ya kutoa manii ili kuzuia mbegu kufikia yai. Hii njia huhitaji uzuifu mwingi sana (kutokana na msongo) upande wa mwanamume. Hata kwa kutumia njia hii unaweza pata mimba KABLA mwanamume hajatoa uume wake. Kabla hajatoa manii mwanamume anaweza kutoa manii mengine kabla ya kufika kitele (pre-ejaculation) nah ii inaweza kusababisha mimba. Hivyo basi hii njia haifai sana kwa kuzuia mimba.   Pia, haitakulinda kutokana na maradhi ya zinaa. Kujinyima/kujifunga kutoka kufanya mapenzi wakati wa mwezi/hedhi au ‘Fertility Awareness’ ni njia nyingine, na inayofaa zaidi ya kuzuia uzazi kitabia.

0
No votes yet
Your rating: None